kweli hii tabia iachwe kama sio kupunguzwa, watu wanapenda kuhalalisha hili kwa ku quote history maybe ya vitabu vya dini, kuna vitu vingi sana tumevirekebisha kuendana na wakati, zamani wazee walikuwa wanavaa ngozi tu, wanawake wanatembea matiti wazi, ila haya yote yamerekebishwa kuendana na wakati, sasa hivi dunia imeharibika, maradhi ni mengi, kuwa na nyumba ndogo ni kumuhalalisha kama mtu wako wa pembeni, ila wanaume wanajua wanayoyafanya hao nyumba ndogo wao wakirudi kulala kwa nyumba zao kubwa?
Hakuna mwanamke ambae hataki kulala usiku mzima kakumbatiwa na ampendaye so ukiondoka anaingia kijana single amaye anampenda kwa dhati analala naye mpaka asubuhi jamaa anaondoka, tunayaona sana haya mitaani mwetu, pia ukiwa na nyumba ndogo ni rahisi sana kuacha kutumia condom sababu umemwaminia sana,hapo sasa ndipo unapojiteketeza