Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

hehehe,this one i agree with u. ila umesahau: women ar more smarter at it, so they rarely get caught up!! cheating is cheating,no excuses! if u cant get away from it,leave me! that is the rule.otherwise i will probably give u the taste of ur own medicine and then walk out on u once u find out b4 i am done with u!

u walk out uende wapi? wanawake huwa mna pa kwenda nyie,sad to say , mkiolewa ndo mmeolewa,isitoshe ukijitia ku walk out the next day unasikia best wako ndo yuko bennet na ex wako,hapo sasa kama sio kulazwa icu muhimbili?
 
this is interesting....kama mnaamini wanaume wana cheat au kutafuta nyumba ndogo
kwa sababu 'kuna mapungufu ' kwa wake zao....basi itabidi tuanze upya mjadala...

itahitaji mjadala mwingine kabisa....

but mjadala wa huu uzi ni simple....je ni halali au sio halali kushauri 'watu how to it the right way'
kwenye masuala ya nyumba ndogo....

Boss hizo justification za kusema do it this way or that way unazibase kwenye stands zipi? Maana ninavyohis ni kuwa kwa wewe kuweza kumweleza mtu cheza hivi au vile ni lazima ujue motive yake! Kampenda X anataka awe nyumba ndogo boss nifanyeje! Ushapata sababu! Na akikwambia anataka nyumba ndogo kwa kuwa mkewe hamjali unawezaamshauri aongee na mkewe waweke mambo sawa kabla hayajaharibika kabisa!

Nway kilaza mie nsizidi kukukera kwa maswali yangu ya kipuuzi.
 
ukiwa na mtazamo wa kila ushauri usiokubaliana nao ni wrong
na ni makosa kushauri basi 'utawachukia wengi mno...na utakosa amani..

mfano mtu anafungua duka la kuuza magari used,wewe unamtuhumu hapendi watu wanunue magari mapya..

binadamu wote including you ni watu selfish in nature.....ndo maana

hakuna anaezaliwa akiota kuendesha volkswagen beetle,wengi huota kuendesha benz...
but somehow wanajikuta wanaendesha beetle na huwezi kusema'alietengeneza beetle' hataki watu waendeshe
benz....

mtu akija kukushauri kuwa kama huna pesa ya kununua gari,nunua bajaj...
huwezi sema huyu mtu ana roho mbaya,hatakina wewe umiliki gari....sio hivyo..

ukiweza kumpata mwanaume 'perfect' ni vizuri kwako.....
but sisi wengine tunaona hao wanaolaumiwa kwa kutekeleza familia na kujali nyumba ndogo zaidi
ni bora wakaelimishwa namna ya kupunguza 'hasara' kwa familia..kuliko kukazania kuwa waache while najua sio rahisi...

duuh The Boss umetishaa kaka daah una facts duh.

Ila mm nakataa bana hayo mambo ya nyumba ndogo yanaweza kabisa kuepukika
Napinga kuwepo kwa nyumba ndogo mana kuwakosea heshima wake zenu.
cha muhimu ni wadada wabadili watimize wajibu ktk ndoa zao ili kuondoa uwezekano wa mumu kuwaza kupata huduma kwa nyumba ndogo.
 
Naona nimepumzika vya kutosha... Ngoja niangalie niliishia page ya ngapi.... Roulette dear I am back.... Pole saana kwa kazi ngumu...
 
Mimi bila kujali nani ana msimamo gani, nitaomba kinamama wanijibu masuala yafuatayo, tena naomba wajibu kiufasaha kabisa na tuwaelewe adhawaizi nitahitaji kulipwa fidia kwa kutumia muda wa kiofisi kuuliza haya masuala:-

1) Idadi ya wanawake ni kubwa sana duniani ukilinganisha na wanaume. Je kuna kinamama wanatakiwa wafariki bila kuonja utamu wa ndoa? je kama wewe unayejibu utawekwa kwenye hiyo ignore list ya wanaume , utaweza kusurvive?

2) Mwanaume rijali anahitaji sex almost after every other day at least. Mwanamke akishuhulishwa kisawasawa siku moja tu basi wiki mbili havui kufuli tena. Ni ipi hukumu ya high demand ya sex ya mwanaume ukilinganisha na low sex demand ya mwanamke? Achilia mbali kipindi cha ujauzito, period na ile hujampa hela ya lipustiki yeye ananuna miezi miwili hakupi kiduku

3)Suala la kiimani nitaliepuka, jamaa wa jukwaa la dini wasje wakapandisha mashetani kwenye sred ya RR.

4) Mbona hili suala kwa mila za mababu lilikubalika? why JF why?

NB: Wengi wanaopinga polygamy wanaiga uzungu lakini eleweni kwamba wazungu walianzisha haya masheria ya mke mmoja mume mmoja baada ya kuishiwa na nguvu za kiume.

Nina masuala kibao lakini mengine nitauliza memba mmoja mmoja kupitia PM.
 
Boss hizo justification za kusema do it this way or that way unazibase kwenye stands zipi? Maana ninavyohis ni kuwa kwa wewe kuweza kumweleza mtu cheza hivi au vile ni lazima ujue motive yake! Kampenda X anataka awe nyumba ndogo boss nifanyeje! Ushapata sababu! Na akikwambia anataka nyumba ndogo kwa kuwa mkewe hamjali unawezaamshauri aongee na mkewe waweke mambo sawa kabla hayajaharibika kabisa!

Nway kilaza mie nsizidi kukukera kwa maswali yangu ya kipuuzi.

kwanza be free na mimi...huwa sikereki kabisa na maswali trust me...

sasa nikujibu wapi nili base kwa ushauri.....

ni hivi kwa mimi ninavoamini na wanaume wengi responsible wanavyoamini......iko hivi....

mwanaume wewe ndio kiongozi wa familia,mimi siamini kwenye usawa wa jinsia...
naamini mwanaume ni baba na kiongozi wa nyumba na familia..
ana lead na kuhakikisha familia iko 'happy na salama'.....

however kwa mwanaume boys will be boys.....sometimes 'bila kujali ni haki au halali 'kutoka nje
hujikuta wanatoka nje au kutaka kumiliki 'mwanamke mwingine'....

sasa kwangu mimi ni lichokifanya ni kutoa ushauri utakao linda familia yake zaidi......
kama ni halali au sio halali sio ishu yangu hapa....
sio halali kuvuta sigara na still wanavuta mpaka madaktari...kila mtu na maisha yake na maamuzi yake....

but kwa faida ya familia.including watoto unaweza kumshauri mtu,how to avoid baadhi ya vitu...
na hapa ndio role ya mwanaume as a leader wa familia...
 
duuh The Boss umetishaa kaka daah una facts duh.

Ila mm nakataa bana hayo mambo ya nyumba ndogo yanaweza kabisa kuepukika
Napinga kuwepo kwa nyumba ndogo mana kuwakosea heshima wake zenu.
cha muhimu ni wadada wabadili watimize wajibu ktk ndoa zao ili kuondoa uwezekano wa mumu kuwaza kupata huduma kwa nyumba ndogo.

Huko ku-pretend ndio mbaya

Kitu boss anasema ndio realities in life..

siyo lazima kuwe na upungufu ndio unatafuta mke BIG NO!

Unatafuta mwanamke mwingine kwasababu unampenda mke mwingine

Note. Kumpenda mke mwingine haina maana humpendi bi mkubwa (BIG NO)

Mnatakiwa kuamini kwamba unaweza kupenda wake zaidi ya moja..

Ile theory kwamba huwezi kupenda wawili or mor ni hoax (illusion) kwasababu in practice tunapenda wake zetu wote pamoja na watoto wao.

Wanawake wakubi wanaume waoe wanawake wengi kwasababu ni necha
 
ukioa utashangaa sana....
sio mapungufu ya 'mke ndio sababu watu wana cheat...
its complicated...hata ukiwa na 'the perfect wife'.....

duuh The Boss ww ni kicheche khaaa! Sasa kama una perfect wife nje watafuta nini? Maradhi au? Duh nimekushindwa mkuu.
 
duuh The Boss umetishaa kaka daah una facts duh.

Ila mm nakataa bana hayo mambo ya nyumba ndogo yanaweza kabisa kuepukika
Napinga kuwepo kwa nyumba ndogo mana kuwakosea heshima wake zenu.
cha muhimu ni wadada wabadili watimize wajibu ktk ndoa zao ili kuondoa uwezekano wa mumu kuwaza kupata huduma kwa nyumba ndogo.

huwezi amini mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa natamani 'kuwachapa bakora'
wanaume wenye nyumba ndogo.....but ukisoma na kukua na kupata knowledge ya kutosha utashangaa sana..
binadaamu ni wanyama kabisa kama sayansi inavyosema,baadhi ya mambo yako nje ya 'akili ya kawaida'..
 
duuh The Boss ww ni kicheche khaaa! Sasa kama una perfect wife nje watafuta nini? Maradhi au? Duh nimekushindwa mkuu.

ukinijua the way navyoishi my life utashangaa sana...
siwezi ku pretend na siwezi kujipa mzigo wa wanawake weengi...
mimi huwa nammoja tu at times,but nawaelelewa wanaoshindwa....
 
Mimi bila kujali nani ana msimamo gani, nitaomba kinamama wanijibu masuala yafuatayo, tena naomba wajibu kiufasaha kabisa na tuwaelewe adhawaizi nitahitaji kulipwa fidia kwa kutumia muda wa kiofisi kuuliza haya masuala:-

1) Idadi ya wanawake ni kubwa sana duniani ukilinganisha na wanaume. Je kuna kinamama wanatakiwa wafariki bila kuonja utamu wa ndoa? je kama wewe unayejibu utawekwa kwenye hiyo ignore list ya wanaume , utaweza kusurvive?

2) Mwanaume rijali anahitaji sex almost after every other day at least. Mwanamke akishuhulishwa kisawasawa siku moja tu basi wiki mbili havui kufuli tena. Ni ipi hukumu ya high demand ya sex ya mwanaume ukilinganisha na low sex demand ya mwanamke? Achilia mbali kipindi cha ujauzito, period na ile hujampa hela ya lipustiki yeye ananuna miezi miwili hakupi kiduku

3)Suala la kiimani nitaliepuka, jamaa wa jukwaa la dini wasje wakapandisha mashetani kwenye sred ya RR.

4) Mbona hili suala kwa mila za mababu lilikubalika? why JF why?

NB: Wengi wanaopinga polygamy wanaiga uzungu lakini eleweni kwamba wazungu walianzisha haya masheria ya mke mmoja mume mmoja baada ya kuishiwa na nguvu za kiume.

Nina masuala kibao lakini mengine nitauliza memba mmoja mmoja kupitia PM.

Umemaliza mkuu..tunaita hiyo ukweli mtupu
 
acha vitisho King'asti bana,maji ya moto hayaunguzi nyumba,ukifumania utaishia kulia michozi debe,ukipigwa pande la khanga unatulia tuli na mzigo unatoa,halafu ukinogewa unaanza..'lakini Baba Bishanga utamu wote huu kweli ulimpelekea Chausiku...aaahhhg.....aaahg ' huku unapumulia mdomo,nawajua sana nyie ndo zenu.

aahaaa! Kumbe wake zenu ndo wako hivo? Na mmewadharau sana aisee ndo maana mwadiriki hata kujifagilia mbele ya kadamnasi! HASARA sana mwanaume akikuona we mbwiga kiasi hiki!
 
Huko ku-pretend ndio mbaya

Kitu boss anasema ndio realities in life..

siyo lazima kuwe na upungufu ndio unatafuta mke BIG NO!

Unatafuta mwanamke mwingine kwasababu unampenda mke mwingine

Note. Kumpenda mke mwingine haina maana humpendi bi mkubwa (BIG NO)

Mnatakiwa kuamini kwamba unaweza kupenda wake zaidi ya moja..

Ile theory kwamba huwezi kupenda wawili or mor ni hoax (illusion) kwasababu in practice tunapenda wake zetu wote pamoja na watoto wao.

Wanawake wakubi wanaume waoe wanawake wengi kwasababu ni necha

haah haah haah mkuu basi njoo kwetu waislam.

Ila kwa kuwa nadhani ww ni mkristo safi na mwenye imani juu ya dini yako kamwe hatuwez kuhalalisha nyumba ndogo mkuu.
 
haah haah haah mkuu basi njoo kwetu waislam.

Ila kwa kuwa nadhani ww ni mkristo safi na mwenye imani juu ya dini yako kamwe hatuwez kuhalalisha nyumba ndogo mkuu.
hehehe Mkuu umeongea kama una uhakika wa imani yangu wakati sjawahi kutaja imani yangu loool. Endelea kuguess tu
 
ADii hapa tunazungumzia maadili?
Well....hawa waliokosa hawajali maadili...lol (umesema kiongozi?)

mmmh!! Hapa NO COMMENT...

Yaani sasa hapa ndio umenichanganya kabisaaaaaa..Kwa hiyo mke wa mtu kumegwa na mume wa mtu RUKHSA. Ila mume wa mtu kuwa na mwanamke ambae hajaolewa hairuhusiwi kwa kuwa atakuwa nyumba ndogo?

Mbona sielewi! ??

Nimekuelewa Ngabu; it's so confusing!

Masaki sijaelewa umeitoa wapi hio.... (kwamba ukitoka na mke wa mtu it is right-hebu acha kugeuza maana ya what i am saying it is beta you ask) Kama umepata hio impression kweli kabisa unashindwa nisoma... Post uloniqoute nimesema haya na naona nikudadafulie
  1. Kuna tofauti kati ya infidelity na kua na nyumba ndogo..
  2. Kua na nyumba ndogo inaepukika kabisa ila infidelity is inevitable..(yaani kuepukika yaepukika ila in the long run cheating yaweza occur)
  3. Mwanaume anapo infidel na Mke wa mtu - huyo sio nyumba ndogo bali ni hawara...
Hivo Masaki tell me exactly wapi hujanielewa....
 
huwezi amini mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa natamani 'kuwachapa bakora'
wanaume wenye nyumba ndogo.....but ukisoma na kukua na kupata knowledge ya kutosha utashangaa sana..
binadaamu ni wanyama kabisa kama sayansi inavyosema,baadhi ya mambo yako nje ya 'akili ya kawaida'..

The Boss hicho kiwango cha usomi unachotaka niwe nacho ni kipi?
Binafsi nashikia msimamo wangu inaweza kuepukika kama wanawake watatimiza wajibu wao kamwe huwez kwenda nje. Otherwise uwe kuna vitu unavikosa.
 
Back
Top Bottom