i have evidance, so this is very true, jhpiego jirekeaisheni badala kutumia mamluki kuwatetea humu.
Kweli Mkuu, mm ni kati ya watu ambao niliomba kazi pale, na sina ninaemjua na nikaitwa interview, we were 8, na nilikuwa among the finalists. Nasubiri majibu. Swala la wana watu wao sidhani sana.Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!
Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!
Tafuta kazi sehemu nyingine kijana, chukulia hiyo kama challenge... acha kulalama ni kweli hawo jamaa hawafai, lakini hawajakukata mikono...aaaahhhmimi nilisha tuma application kwao mara 4 na nina vigezo na hata mara moja sikuwahi kuitwa kwenye usaili, Ni wasumbufu sana, ivi kwa nini watoe tangazo wakati tayari wanao watu wa kuwafanyia kazi? hii inaudhi sana.
Kweli Mkuu, mm ni kati ya watu ambao niliomba kazi pale, na sina ninaemjua na nikaitwa interview, we were 8, na nilikuwa among the finalists. Nasubiri majibu. Swala la wana watu wao sidhani sana.
God bless you kwa kujitokeza hadharani kutoa evidence!! Karibu, simpendi mtu, simchukii mtu, naamini kweli itaniweka huru, ninayoamani kupingana na watu makumi kwa mamia ikiwa kinachielezwa si cha kweli!
wayasema hayo kwa kuwa wewe ummoja wao. Unadhihirisha usemi wa aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Mnapopeana nafasi nnafikira jamii hatawajua, lakin tumewajua, kwa hao mnaowapendelea wengine ni best friend wetu, hivyo hutuambia.
usiwe biased mkuu, sio sababu umekosa opportunity unapondea kila kitu, Kapotolo kaweka wazi, amepata kazi na hakuhonga wala kumjua yeyote Jhpiego, kwa nini usichukue efforts za kujua siri ya mafanikio yake! Halafu jaribu kuchek na wanaofanya kazi huko, wapo ambao umesoma nao na hawana mbuyu kama unavyotangaza, hao nao tufanyeje? Kazi zipo nyingi, shida wenye sifa nao ni wengi, ushauri tafuta sehemu nyingine ambayo utapata kirahisi!mavuvuzela. Ujue watanzania imefikia kipind sasa watu wanajijali wao na wafamilia zao tu wengine wafie mbali, uzalendo na utu hamna. Acha kukutetea maovu, kukumbukeni msipokemea kwa kuwa nyie mnanufaika, watoto wenv watakuja kuumia na mfumo uliooza. Watu wanalaumu jhpiego kwa kuwa wamefanyawa uhuni. Mbona hawajasema kungine?
usiwe biased mkuu, sio sababu umekosa opportunity unapondea kila kitu, Kapotolo kaweka wazi, amepata kazi na hakuhonga wala kumjua yeyote Jhpiego, kwa nini usichukue efforts za kujua siri ya mafanikio yake! Halafu jaribu kuchek na wanaofanya kazi huko, wapo ambao umesoma nao na hawana mbuyu kama unavyotangaza, hao nao tufanyeje? Kazi zipo nyingi, shida wenye sifa nao ni wengi, ushauri tafuta sehemu nyingine ambayo utapata kirahisi!
sina haja ya kupewa ushauri na mtu bwe.ge ka wewe, ambao unawaza mtu akikemea jambo lazma liwe ni kwa ajili yake. Watu kama wewe ni vibaraka tu ambao hawana uhuru wa mawazo. Upewa kikazi hapo jhpiego ndo maana unatokwa na mapovu. Jifunze kufikiria kwa mapana na zaidi ya wewe na familia yako. Kikaragosi
mimi nilisha tuma application kwao mara 4 na nina vigezo na hata mara moja sikuwahi kuitwa kwenye usaili, Ni wasumbufu sana, ivi kwa nini watoe tangazo wakati tayari wanao watu wa kuwafanyia kazi? hii inaudhi sana.
I have the evidence too!!
Kuna mahali labda unachemka
Nitaku PM Mkuu