Optatus Barnabas
Member
- Sep 18, 2012
- 58
- 1
njooni kwangu ninyi nyote mlioelemewa na mizigo, nami nitawapunzisha......mathayo:6:12-14
I am just saying fellow africans...mimi nlipata kazi yangu ya kwanza straight from University bila kuwa referred na mtu yeyote, tena kwenye multinational company..ila hakuna sheria inayokataza kuajiri mtu unayemjua..acheni kulalamika,,jengeni competencies..kazi za kugombania kwa high level interview, communication and related skills ziko nyingi tu...ila sababu waafrika mmekalia lawama tu..kazi zinaenda kwa wahindi na wengine walio aggressive!!...wake up people!!
Being employed by a multinational company doesn't mean that you are exceptional wala haimaanishi kuwa uko competent kuliko wengine wote...you just got luck
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Endelea kuajiriwa na kuwahamisisha vijana kutokujiajiri coz that is ur level of incompetenceujue hapa unaweza ukasema hata unamiliki kampuni ya ndege kwa kuwa hutukuoni. Lakin ukweli unaujua, huna jipya, i can read your ability from the way u construct ur argument. We can expect nothing new from individual like u. Eti bil get? Ndo amekaririshwa
Everyone makes his own luck my friend..I have worked on my communication skills and I am excellent at it..if I have read and researched more about the company than you did in preparation for the interview..if I have worked on my confidence level overtime and its now at its peak..if. I focused on my studies at school, got better grades than you did..obviously I'll be more 'lucky' than you, ALL THE TIME..don't you think??
Vijana acheni kulalama katika hii dunia ya utandawazi mwenye network kubwa ndiyo anafanikiwa.Jifunzeni kutengeneza network hata kwa kuomba kazi kwa kujitolea kwenye hizo organization.
John Snow Inc Je?
Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!
Hiyo ni kweli wanatoa mimi niliomba nikaitwa nikafanya interview na nikapata kazi tukashindana maslai,nilipo achana nao walitangaza tena hiyo nafasi!
njooni kwangu ninyi nyote mlioelemewa na mizigo, nami nitawapunzisha......mathayo:6:12-14
Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!
una uhakika gani kua kila anayetafuta kazi ana blackbery,laptop na desktop?kuongea ni rahic kuliko kutenda nduguMwaka umekwisha ndugu zangu,muda wote huo mliopoteza na mnaoendelea kupoteza ulikua unatosha kabisa kufanya jambo lenye manufaa,hasa kujiajili.Kwa mfano mtu unamiliki simu aina ya brackberry,laptop au desktop computer ambazo unaweza kuuza na kupata mtaji mdogo,unaoweza kukuwezesha kufungua hata biashara ya matunda au juice,mashuleni au vyuoni,mfano ukiuza glasi 200 za juisi kwa shilingi 300 ni sawa na 60,000 kwa siku,ambayo ni sawa na 1,200,
000 kwa mwezi,kwa siku 20, ukitoa siku za wikiendi,mtaji hauzidi shilingi 500,000.Ukitoa gharama za ushuru na mengineyo,haukosi kuanzia 800,000 hadi 900,
000 kwa mwezi.kumbuka kuna waajiliwa hawapati kiasi hicho kwa mwezi na wanahodhi madaraka makubwa ofisini.Je unataka uajiliwe kama status tu au utengeneze pesa,mtakufa masikini ndugu zangu.
una uhakika gani kua kila anayetafuta kazi ana blackbery,laptop na desktop?kuongea ni rahic kuliko kutenda ndugu