JHPIENGO ndio zao nina rafiki yangu ana kaka ake yuko hapo alishasema wala tusihangaike
kuomba hapo nafasi zina watu wao..ye mwenyewe alishamuweka mdogo wake mwingine
kwenye mojawapo ya vitengo pale..... mdogo wake ilishindikana akamwambia hawezi kuweka
wawili sehem moja akamuunganishia kwingine
unanitisha heaven mpaka najiskia kuhairisha interview yao. nisije poteza muda na nauli yangu. ukizingatia natokea mkoani.
Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!
Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!
unanitisha heaven mpaka najiskia kuhairisha interview yao. nisije poteza muda na nauli yangu. ukizingatia natokea mkoani.
2009 hawa watu walinisahili kwa njia ya simu na kunipa kazi,wala sikuwa na mtu yeyote ninayemfahamu pale. nilipata kazi nyingine kwa hiyo sikwenda kwao. kwa hiyo naweza kusema wako fair. haya mambo ya kujuana au kupendeleana huwa yanajitokeza kwa sababu ya tabia za watu, ugumu upatikanaji wa wafanyakazi wazuri (ambaye anafahamika utendaji wake anapewa kipaumbele kuliko asiyefahamika) na unyeti wa nafasi yenyewe. tuishi kwa imani chanya kwani 'negative thinking' normally produces bad energy that make you weak na utashindwa kumshawishi muajiri kwamba wewe ni bora kuliko yule anaemfikiria. kwenye mazingira ambayo unahisi kuna kujuana au kutakuwa na upendeleo, amini kwenye 'dynamic nature of human beings that human being is unpredictable' therefore you may change his direction.
Ndo kusema ni wewe peke yako umeona hayo maeneo na kudhani wengine hawajayaona na hivyo wasiqualify kuitwa? Acha kuwatetea wanasema hapa si kwa mazoea ila ni kwa experience walizonazo kwa hiyo ofisi iweje waitaje hiyo kwenye topic ujue ina tatizo.
Vijana acheni kulalama katika hii dunia ya utandawazi mwenye network kubwa ndiyo anafanikiwa.Jifunzeni kutengeneza network hata kwa kuomba kazi kwa kujitolea kwenye hizo organization.
hawa jamaa wanatangaza nafac za ajira wakati tayari wana watu wao. Niliwahi omba nafac pale mara kadhaa na nlikuwa vigezo vyote walivyotaka lakin hata short list hamna, ndipo nlipomuuliza jamaa yangu anafanya pale akasema pale kuingia uwe unajua wakubwa kwan hata yeye Baba yake wanajuana na MD.
Ndo kusema ni wewe peke yako umeona hayo maeneo na kudhani wengine hawajayaona na hivyo wasiqualify kuitwa? Acha kuwatetea wanasema hapa si kwa mazoea ila ni kwa experience walizonazo kwa hiyo ofisi iweje waitaje hiyo kwenye topic ujue ina tatizo.
2009 hawa watu walinisahili kwa njia ya simu na kunipa kazi,wala sikuwa na mtu yeyote ninayemfahamu pale. nilipata kazi nyingine kwa hiyo sikwenda kwao. kwa hiyo naweza kusema wako fair. haya mambo ya kujuana au kupendeleana huwa yanajitokeza kwa sababu ya tabia za watu, ugumu upatikanaji wa wafanyakazi wazuri (ambaye anafahamika utendaji wake anapewa kipaumbele kuliko asiyefahamika) na unyeti wa nafasi yenyewe. tuishi kwa imani chanya kwani 'negative thinking' normally produces bad energy that make you weak na utashindwa kumshawishi muajiri kwamba wewe ni bora kuliko yule anaemfikiria. kwenye mazingira ambayo unahisi kuna kujuana au kutakuwa na upendeleo, amini kwenye 'dynamic nature of human beings that human being is unpredictable' therefore you may change his direction.
Hata kuvolunteer ishu, lazima awepo mtu ndani wa kukukingia kifua mwanzo mwisho