Jhpiego kiini macho cha ajira

Jhpiego kiini macho cha ajira

JHPIEGO nasikia mpaka uwe binti ndio unaweza kuajiriwa HR. JOHN SNOW INC nayo inatumbukia kwenye huu usanii, QATAR Airways sanaa zilizile.
 
Hii NGO na nyingine kama , EngenderHealth, Elizabeth Glaser Padiatric, kila mara wanatoa matangazo ya kazi kwenye magazeti ila upatikanaji wake ni kizungumkuti.

Pole, ila inaonekana hunda detail za kutosha za EGPAF, si kila uki apply ndo uitwe kwa interview.
 
jhpiego hawana hizo...me nilipata kazi kwao na sikuwa namjua mtu yoyote...kazi ni qualifications zako na unavyojiexpress...nothing more
kwa hiyo ndugu kaza buti
 
halafu ukiitw kwenye interview uombe mungu kuwe hamna mwanamke kwani HR wao anapenda chupi kweli kweli.
hao jpiego nimeshawachoka sihangaiki nao tena.
 
Acha uzushi bhana, HR wao ni mwanamke, Halaf unapitia interview kama 3, na unakutana na watu zaidi ya 2, Hivi yafaa nini kuzusha au kujadili jambo ambalo hulijui? Nenda ofisi zao pale victoria utapewa detail za akina nani wameitwa kwa interview halafu fuatilia na uone kama walikuwa na ndugu walio wasimamia au la!!
 
Kiongozi mkuu wa NGO hiyo ni Counrty Director na Sio Managing Director kama usemavyo. Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta visingizio, Kasome uongeze elimu, Nenda Jhpiego Kaombe Feedback kwa nini hukuchaguliwa, fanyia kazi areas of growth au weekness utakazo ambiwa then anza upya. Huwezi kusema umeonewa kwa fikra zako tu bila kujua wangapi waliomba kazi ile na wewe na wao uzoefu, elimu na IQ zenu zimeachana vipi.....vinginevyo utalia lia kila siku.
 
jhpiego hawana hizo...me nilipata kazi kwao na sikuwa namjua mtu yoyote...kazi ni qualifications zako na unavyojiexpress...nothing more
kwa hiyo ndugu kaza buti
Very true ndugu, hawa wengine wanadhan ukiapply ni must kupewa, hawaangalii vigezo stahili na competency yao, wao wanadhani kuwa cv zao zimekaa vizuri kushinda watu wote, kumbe siyo
 
Kiongozi mkuu wa NGO hiyo ni Counrty Director na Sio Managing Director kama usemavyo. Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta visingizio, Kasome uongeze elimu, Nenda Jhpiego Kaombe Feedback kwa nini hukuchaguliwa, fanyia kazi areas of growth au weekness utakazo ambiwa then anza upya. Huwezi kusema umeonewa kwa fikra zako tu bila kujua wangapi waliomba kazi ile na wewe na wao uzoefu, elimu na IQ zenu zimeachana vipi.....vinginevyo utalia lia kila siku.

Bravo, umenifilisi
 
Watanzania tubadililike.... ukishindwa mtihani umeonewa, Ukishindwa interview ndo kaisa, Ukiugua umelogwa.... duh.
 
Kiongozi mkuu wa NGO hiyo ni Counrty Director na Sio Managing Director kama usemavyo. Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta visingizio, Kasome uongeze elimu, Nenda Jhpiego Kaombe Feedback kwa nini hukuchaguliwa, fanyia kazi areas of growth au weekness utakazo ambiwa then anza upya. Huwezi kusema umeonewa kwa fikra zako tu bila kujua wangapi waliomba kazi ile na wewe na wao uzoefu, elimu na IQ zenu zimeachana vipi.....vinginevyo utalia lia kila siku.

Jhpiego staff by favour
 
Very true ndugu, hawa wengine wanadhan ukiapply ni must kupewa, hawaangalii vigezo stahili na competency yao, wao wanadhani kuwa cv zao zimekaa vizuri kushinda watu wote, kumbe siyo

i have evidance, so this is very true, jhpiego jirekeaisheni badala kutumia mamluki kuwatetea humu.
 
Kiongozi mkuu wa NGO hiyo ni Counrty Director na Sio Managing Director kama usemavyo. Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta visingizio, Kasome uongeze elimu, Nenda Jhpiego Kaombe Feedback kwa nini hukuchaguliwa, fanyia kazi areas of growth au weekness utakazo ambiwa then anza upya. Huwezi kusema umeonewa kwa fikra zako tu bila kujua wangapi waliomba kazi ile na wewe na wao uzoefu, elimu na IQ zenu zimeachana vipi.....vinginevyo utalia lia kila siku.

wewe ndo unatumia nyuma kufikiri, kuna country director lakin shughuli za utendaji za kila cku yuko MD, ANGALIA ORG chart yao
 
Acha uzushi bhana, HR wao ni mwanamke, Halaf unapitia interview kama 3, na unakutana na watu zaidi ya 2, Hivi yafaa nini kuzusha au kujadili jambo ambalo hulijui? Nenda ofisi zao pale victoria utapewa detail za akina nani wameitwa kwa interview halafu fuatilia na uone kama walikuwa na ndugu walio wasimamia au la!!

naijua hii ngo kuliko unavyoijua wewe na huyo unayemsema najua sana. Acha kutetea utumbo
 
Acha uzushi bhana, HR wao ni mwanamke, Halaf unapitia interview kama 3, na unakutana na watu zaidi ya 2, Hivi yafaa nini kuzusha au kujadili jambo ambalo hulijui? Nenda ofisi zao pale victoria utapewa detail za akina nani wameitwa kwa interview halafu fuatilia na uone kama walikuwa na ndugu walio wasimamia au la!!

Mashaka ameanza lini kuwa mwanamke?
ofisi zao nazifahamu zilipo na nimeshafika sana pale na kufanya nao kazi nawafahamu.
 
Back
Top Bottom