Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
- Thread starter
- #21
Elimu ya Tz ni janga la kitaifa, vijana wanasoma ili waajiriwe.
utakuta we mwenyewe umeajiriwa. Nashangaaga sana una kuta mtu ameajiriwa alafu anawaambia wenzaje jiajiri, kama ni rahis hivyo kwa nin we usijiajiri, unaendelea kuwa kibaraka cha mwajiri. Fursa zipo sawa, lakin je miundo mbinu ina sapoti?