JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaa, wewe TANMO teja hawezi kuniacha hata uweje...... anajua jina lako nalitaja tu sababu nakuonea huruma, lol!
 
Last edited by a moderator:
Habari kamili:
gfsonwin atimuliwa kazi,alibambwa anamfanyia Smile mtihani wa biology fom fo.
Asprin hoi mwananyamala,alcohol overdose (read:gongo+chimpumu).
sweetlady kimbembe niniliyu zanasana na Vin Diesel,mara ya mwisho nitonye alionekana kipatimo,kilwa.
Madame B adondosha chachandu kwenye daladala la posta/buguruni,zote nyekundu.
cacico azipiga live na BADILI TABIA,eti alimbamba anaweka hirizi chini ya godoro lake.
King'asti afumaniwa na pou,alikuwa anakula uroda na hausboi wao Erickb52.
Bishanga arudiana rasmi na Mamndenyi,waelekea Acapulco kula x mass.
Zinduna aanikwa,kumbe in real life ni wema sepetu.
Yagundulika,kumbe mmiliki wa jf ni nape.
 
Last edited by a moderator:
raha ya ugonjwa wa Mkesha ukupate wiki end, ivi litakuwa toleo la mwisho wa mwaka au wadunia?
 
@Bishanga wakora sana mkuu,
unataka marudiano tena wakati uliniacha wewe mwenyewe,
itakuwa ngumu meeku wangu,
hapa niko full nshajipanga kuanza kula mema ya nchi na niliyempata baada ya kunipiga chini.
"endesha polepole na usisahau kufunga mkanda"

Habari kamili:
gfsonwin atimuliwa kazi,alibambwa anamfanyia Smile mtihani wa biology fom fo.
Asprin hoi mwananyamala,alcohol overdose (read:gongo+chimpumu).
sweetlady kimbembe niniliyu zanasana na Vin Diesel,mara ya mwisho nitonye alionekana kipatimo,kilwa.
Madame B adondosha chachandu kwenye daladala la posta/buguruni,zote nyekundu.
cacico azipiga live na BADILI TABIA,eti alimbamba anaweka hirizi chini ya godoro lake.
King'asti
afumaniwa na pou,alikuwa anakula uroda na hausboi wao Erickb52.
Bishanga arudiana rasmi na Mamndenyi,waelekea Acapulco kula x mass.
Zinduna aanikwa,kumbe in real life ni wema sepetu.
Yagundulika,kumbe mmiliki wa jf ni nape.
 
Habari kamili:
gfsonwin atimuliwa kazi,alibambwa anamfanyia Smile mtihani wa biology fom fo.
Asprin hoi mwananyamala,alcohol overdose (read:gongo+chimpumu).
sweetlady kimbembe niniliyu zanasana na Vin Diesel,mara ya mwisho nitonye alionekana kipatimo,kilwa.
Madame B adondosha chachandu kwenye daladala la posta/buguruni,zote nyekundu.
cacico azipiga live na BADILI TABIA,eti alimbamba anaweka hirizi chini ya godoro lake.
King'asti afumaniwa na pou,alikuwa anakula uroda na hausboi wao Erickb52.
Bishanga arudiana rasmi na Mamndenyi,waelekea Acapulco kula x mass.
Zinduna aanikwa,kumbe in real life ni wema sepetu.
Yagundulika,kumbe mmiliki wa jf ni nape.
Copy: The secretary
 
Last edited by a moderator:
Bishanga wakora sana mkuu,
unataka marudiano tena wakati uliniacha wewe mwenyewe,
itakuwa ngumu meeku wangu,
hapa niko full nshajipanga kuanza kula mema ya nchi na niliyempata baada ya kunipiga chini.
"endesha polepole na usisahau kufunga mkanda"

Siumwambie tu umezama kwa Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom