JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

Habari kamili:
gfsonwin atimuliwa kazi,alibambwa anamfanyia Smile mtihani wa biology fom fo.
Asprin hoi mwananyamala,alcohol overdose (read:gongo+chimpumu).
sweetlady kimbembe niniliyu zanasana na Vin Diesel,mara ya mwisho nitonye alionekana kipatimo,kilwa.
Madame B adondosha chachandu kwenye daladala la posta/buguruni,zote nyekundu.
cacico azipiga live na BADILI TABIA,eti alimbamba anaweka hirizi chini ya godoro lake.
King'asti afumaniwa na pou,alikuwa anakula uroda na hausboi wao Erickb52.
Bishanga arudiana rasmi na Mamndenyi,waelekea Acapulco kula x mass.
Zinduna aanikwa,kumbe in real life ni wema sepetu.
Yagundulika,kumbe mmiliki wa jf ni nape.

Mwaka huu, nitakoma.
Manake........... Bishanga yuko nami kama cha kwanza
 
Last edited by a moderator:

weweweweeeeeeeee mie na mke mwenza hatuwezi gombanaaa....

Habari kamili:
gfsonwin atimuliwa kazi,alibambwa anamfanyia Smile mtihani wa biology fom fo.
Asprin hoi mwananyamala,alcohol overdose (read:gongo+chimpumu).
sweetlady kimbembe niniliyu zanasana na Vin Diesel,mara ya mwisho nitonye alionekana kipatimo,kilwa.
Madame B adondosha chachandu kwenye daladala la posta/buguruni,zote nyekundu.
cacico azipiga live na BADILI TABIA,eti alimbamba anaweka hirizi chini ya godoro lake.
King'asti afumaniwa na pou,alikuwa anakula uroda na hausboi wao Erickb52.
Bishanga arudiana rasmi na Mamndenyi,waelekea Acapulco kula x mass.
Zinduna aanikwa,kumbe in real life ni wema sepetu.
Yagundulika,kumbe mmiliki wa jf ni nape.
 
Kweli Bishanga unafanya kazi kwa ligongo!
 
umenifananisha na Filipo mkuu...yeye ndio alinasana na sweetlady... Erickb52 nimemuona dsm mahakamani akishangilia ushindi
 
Last edited by a moderator:
Haahahaaa Vin umerudi??
Mbona ulipotea au ndo ulienda kuchakachua kesi ya Lema?
Mkeo wa zamani sweetlady nimemtunza vema sana

ukisema nilienda kuchakachua huyo sweetlady utamfanya anikimbie tena....mahaba ya siasa yanamtawala sana
nilikuwa likizo kidogo dunia ya kwanza....kuna habari umefumaniwa kuna ukweli wowote?
 
Last edited by a moderator:
ukisema nilienda kuchakachua huyo sweetlady utamfanya anikimbie tena....mahaba ya siasa yanamtawala sana
nilikuwa likizo kidogo dunia ya kwanza....kuna habari umefumaniwa kuna ukweli wowote?

Mi hizo kashfa nishazizoea zipo za kweli na nyingine fake
Alifumaniwa Mr Rocky hadi akaleta madhara makubwa kwa Dena Amsi lol ilikuwa balaa yan kakutwa kwa sweetlady kajikunja utadhani mchina yuko mazoezini lol
 
Last edited by a moderator:
Mi hizo kashfa nishazizoea zipo za kweli na nyingine fake
Alifumaniwa Mr Rocky hadi akaleta madhara makubwa kwa Dena Amsi lol ilikuwa balaa yan kakutwa kwa sweetlady kajikunja utadhani mchina yuko mazoezini lol

kuna dalili zote kuwa Mr Rocky alifumaniwa maana hataki kabisa kuonekana kwenye vikao....pacha wangu Dena Amsi mfikishie salamu zangu....Mungu akijalia tar 28 nitakuwa chuga...
 
Last edited by a moderator:
Si mchezo.. ni balaa.. ila naona kamera za gazeti hili pendwa hazina momeri kadi..
 
Back
Top Bottom