jf udaku:remix

jf udaku:remix

Hahahaha. . . huko guest unadhani atakua kajifungia analia au wamejifungia analiwazwa?

gesti nani? Lol ,buibui wanaenda kina TF na Rejao mi mtu wa serena bana na Kempinski.
 
BISHANGA ABASHAIJA ASUTWA NA MIJIMAMA - ABAKI MDOGO KAMA NUKTA!

Usikose nakala yako ya Udaku Remix hapo kesho.
 
Kama utajiri mbona hata mimi ninao. Jaribu tena. . .

Hahahaha. . . Kongosho ni mtihani usio na jibu dearest.

Chezea Michelle sasa,nitampatia jibu....ukimuona niambie.....!!
 
breaking news;
bishanga amkimbia kongosho buibui g/house dakika chache zilizopita baada ya kukuta anaitiwa kumfariji kongosho baada ya kupoteza ajira......
habari kamili atawaletea
Michelle muda si mrefu ,saiv ndo anaelekea eneo la tukio.
 
Yarabi toba, Michelle, Lizzy, na asakuta same wabambwa na mwandishi wa jf udaku remix waki...

Habari kamili uk 7.
 
Yarabi toba, Michelle, Lizzy, na asakuta same wabambwa na mwandishi wa jf udaku remix waki...

Habari kamili uk 7.
we kongosho nitakutumia hawa nyuki wa babu wakuangamize.... wewe endelea tu na huo udaku wako!
 
Yarabi toba, Michelle, Lizzy, na asakuta same wabambwa na mwandishi wa jf udaku remix waki...

Habari kamili uk 7.

Kongosho hii habari mbona sikuiona uk.7 iko sehemu au kama vipi malizia hapo
 
Yarabi toba, Michelle, Lizzy, na asakuta same wabambwa na mwandishi wa jf udaku remix waki...

Habari kamili uk 7.
Wakipanga mkakati wa kumng'oa mtu meno.

Kashfa ya ngono yazua balaa, rais wa wabeba box Nyani Ngabu atimuliwa ofisini mchana jua linawaka shati likiwa upande.
 
breaking news;
bishanga amkimbia kongosho buibui g/house dakika chache zilizopita baada ya kukuta anaitiwa kumfariji kongosho baada ya kupoteza ajira......
habari kamili atawaletea
Michelle muda si mrefu ,saiv ndo anaelekea eneo la tukio.

Kutoka Buibui Guest House: Kongosho azua Balaa

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Kongosho ambaye imethibitika ni member wa mtandao wa JF amezua balaa la aina yake,pale alipomuita mwanamme ambaye ni mpenzi wake nyumba ya kulala wageni,mwanamme huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Bishanga akameza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya VIAGRA. Kufika ndani akakuta Kongosho analia kufukuzwa ajira baada ya bosi wake kumshtukia kuwa anatoroka sana kazini kwenda kulala na Bishanga. Kongosho akakataa katu katu kumpa Bishanga hitaji lake....Hivi sasa Bishanga ambulance imefika kumchukua Bishanga kumpeleka Muhimbili kiungo chake cha uzazi kimegoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa

Mwandishi wetu Asakute atawahabarisha zaidi kutoka Muhimbili......!
 
Back
Top Bottom