jf udaku:remix

jf udaku:remix

Awali ya yote naomba nikiri mbele ya hazala hii kuwa uzi wa 'jf udaku' kwangu ulikuwa ndo sredi of ze year 2011.
Kudos kwa aliyeshusha uzi huo (jina la mdau husika memory un reachable).
Ndugu zangu naomba tuli fresh our memories kwa uzi ule na tuuenzi kwa kupiga remix yake (tuchanganye ala za uzi ule na mpya).Bishanga naanza na headlines hizi za gazeti letu pendwa,edition ya kesho:
1.feisbuku afumwa gesti akiwa na mme wa mtu,katika purukushani adondosha avatar yake.
2.Yabainika: aliyewachonganisha Hashycool na Michelle kumbe ni The Boss,Michelle amuumbua mbele ya Hashy(full news pg 4)
3.malaria sugu na OTIS warudisha kadi za CCM,wajiunga na DP chama cha Mtikila,Freeman naye mbioni kuwa join.
4.Dena na Lizzy waonekana pamoja katika tete-a-tete katika kitchen party ya Husninyo,harusi yake na Rejao jumamosi ukumbi wa igongwe bar.
5.Kongosho kumbe ni mwanaume!
6.yametimia! TF kufunga ndoa na AD.
7.Bishanga afumaniwa na mke wa mtu,mgoni wake aonekana akinoa jambia eneo la tukio!
8.Ashadii atoa tamko,'kuanzia leo siingii tena jf' ,kisa kamili uk wa 8
9.Babu DC aonekana maeneo ya Ikulu akifuatilia malalamiko ya wastaafu wa iliyokuwa EAC.
10.Nyaningabu azipiga kavukavu na figganiga,kisa kugombea kakuku ka kienyeji maeneo ya temeke sokota!mia
@ All rights reserved by Tanmo,any copyright infringement will be reported to Ashadii.
Huyo mwandishi wa heading namba nane lazima atakuwa anaandikia gazet la sani,ngoja mwenyewe amsikie huko aliko ataomba fidia na kuombwa radhi front page kwa wiki nzima
 
Well, the least I can do is wait for the analysis report so, fire away dearest.

Thats my girl...am giving it my best... Bishanga yuko wapi tena? hasira za wewe kumkataa pengine yuko uswazi kwake guest..smh!
 
Thats my girl...am giving it my best... Bishanga yuko wapi tena? hasira za wewe kumkataa pengine yuko uswazi kwake guest..smh!

Hahahaha. . . huko guest unadhani atakua kajifungia analia au wamejifungia analiwazwa?
 
Thats my girl...am giving it my best... Bishanga yuko wapi tena? hasira za wewe kumkataa pengine yuko uswazi kwake guest..smh!
hamna lolote saiz atakuwa anammendea kongosho yule! anamsubiria njia pandaaaa.
 
Niseme nini tena hapo, maana mzee mwenzangu Bishanga kamaliza yote..............
Ngoja niendelee kuperuzi kurasa za ndani za hili gazeti ili nipate udaku kamili
yathibitishwa:Cantalisia kumbe ndo 1st born wa Mzee mzima Mtambuzi.
 
Lizzy avimba kama puto la harusi!
Kwa uhondo zaidi, soma uk. wa 3.
 
Dearest, let me do my work at the end its for you to decide....am doing my analysis....!!

wakati unaendelea na analysis mi nasali na kuomba nipitishwe na kamati!
 
hamna lolote saiz atakuwa anammendea kongosho yule! anamsubiria njia pandaaaa.

Bishanga sijui vipi nae? hawezi hata kupitiliza siku moja....mi najitoa..Lizzy endelea tu na shem wetu yule japo ni mchokozi!
 
Thats my girl...am giving it my best... Bishanga yuko wapi tena? hasira za wewe kumkataa pengine yuko uswazi kwake guest..smh!
nimejaa tele,nasubiria tu report card ili nikanunue suti!
 
Back
Top Bottom