jf udaku:remix

jf udaku:remix

Niseme nini tena hapo, maana mzee mwenzangu Bishanga kamaliza yote..............
Ngoja niendelee kuperuzi kurasa za ndani za hili gazeti ili nipate udaku kamili
 
mimi sitaki utani leo jamani nina majonzi.siamini macho yangu kumuona regia kwenye jeneza inaniuma sana moyoni pls bishanga futa smile hapo

refer to drawer!
 
Loh, Bishanga wewe....kunipeperushia ndege wangu mtarajiwa jamani??? Na humpati tena Lizzy,utabaki kufumaniwa tu uswahilini
msalie mtume Michelle,i need your help katika hili!
 
Michelle hapa unamaana gani Bishanga kakupeperushia ndege wako, are u SHE or HE

He he he he, mi ni mwanamke....ndege wangu ni HE, Bishanga anamjua,sijui hataki kuniona nae basi kila siku visa....lol
 
Back
Top Bottom