jf udaku:remix

jf udaku:remix

Hili gazeti lenu vituko na kebehi vimejaa. Mpaka kashfa zisizo rasmi na maneno mazito, mitusi pia imo,,,kwa mantiki iyo mimi niwekeni kwenye tangazo la kibox kidogo.

Valid statement ananunua vyuma chakavu na chupa za plastiki.
Kg moja sh 500! Wahi ofa.
 
karibu Mkuu!
 
Kwa ushauri juu ya mahusiano, matatizo ya kimaisha na wote mlio na msongo wa mawazo munione "aunt Amy".
 
Theboss ndiye baba watoto wa mama mchungaji mmoja anayemiliki makanisa na mashule makubwa tz. habari zaidi ukr wa tatu.
 
Hili gazeti pendwa likikaribia kutoka.. Watalazwa wengi kwa ngeu...

Nashauri liuzwe elfu kumi na tano kwa kila kopi moja..
 
Back
Top Bottom