jf udaku:remix

jf udaku:remix

Kama utajiri mbona hata mimi ninao. Jaribu tena. . .

Hahahaha. . . Kongosho ni mtihani usio na jibu dearest.
nshakuagizia merc 600 SL ujue,ohooooooo!!!!!
 
Hili gazeti bei gani?
Kipipi,we shusha tu umbea hapa,mambo ya bei baadae.
Vipi hajambo mmeo?jana nasikia ulimfumania uwanja wa fisi akiwa na mama muuza mateka wima mkapigana kishenzi.Hivi kalazwa wodi gani mwananyamala?
 
Kutoka Buibui Guest House: Kongosho azua Balaa

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Kongosho ambaye imethibitika ni member wa mtandao wa JF amezua balaa la aina yake,pale alipomuita mwanamme ambaye ni mpenzi wake nyumba ya kulala wageni,mwanamme huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Bishanga akameza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya VIAGRA. Kufika ndani akakuta Kongosho analia kufukuzwa ajira baada ya bosi wake kumshtukia kuwa anatoroka sana kazini kwenda kulala na Bishanga. Kongosho akakataa katu katu kumpa Bishanga hitaji lake....Hivi sasa Bishanga ambulance imefika kumchukua Bishanga kumpeleka Muhimbili kiungo chake cha uzazi kimegoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa

Mwandishi wetu Asakute atawahabarisha zaidi kutoka Muhimbili......!
kongosho umesikia umbea huo? Unaonaje tumtafute Hashy tumpatie nyeti za Michelle?
 
Imebidi nijisogeze karibu na dirisha naskia nesi anamlalamikia Bishanga mbona hata hamalizi, Bishanga anapiga mikelele tu eti misuli inamuuma mpaka sasa hivi naanza kusikia maneno ya kihaya ...mayo..omukama anjune..
du! Haya mambo ya kuchokoza mzinga wa nyuki...mmmmhhh
Nalogoff (source:washawasha)
 
Bishanga adondosha chozi nakuzimia baada ya kumfumania mkewe wake akiliwa uroda na jamaa mmoja jina limehifadhiwa

yeye alipofumaniwa mbona my wife wake hakudondasha chozi?
mkuki kwa ................
 
Bishanga afanikiwa kutoka hospitali:

Baada ya sindano kushindikana,msamaria mwema ambaye chanzo chetu kimethibitisha ni nesi hapo hospitalini ameokoa jahazi na kutumia njia ya kawaida kumaliza tatizo lililokuwa linamsumbua. Chanzo chetu kinatuhabarisha pia Bishanga,tajiri la Kihaya ameondoka na huyo nesi na sasa wako nyumbani kwa Bishanga.

nesi mwenyewe anaitwa Dena!
 
Picha za wan jf walioenda kutembea msibani zasambaa mitaani magamba wazinunua kama njugu.

Yasemekana Rejao ana damu baridi na alizaliwa Njiti
 
Hahaha mmenipunguzia machungu ya msiba aisee,hili gazeti ni noumer
 
Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala
 
Back
Top Bottom