jf udaku:remix

tatizo huyu Bishanga ni Kashinje, eti yeye siku ya kuzaliwa tu anatanguliza miguu ya miguuni
Wenzie wanatangulizwa vichwa vya kichwani vyenye akili

Lizzy mwelewa sana,,,,ukimwingia kiakili anaingilika! labda ulienda kichwa kichwa!! Au siku ya kwanza tu ulitangaza ndoa??
 
Hodii ! Hapa naona wazee mpo veranda mnakula huku mkiendelea na mazungumzo yenu!
Namie nimetaka kunawa nile lakini naona chakula chenu ki'maalumu kwa wazee ! Nikataka ku'share story nayo ya wazee! Mie hata sijazaliwa! Nimekata kona!
 
Sight mirror yako imekudanganya hapa hata cha watoto utapata
 
Lizzy mwelewa sana,,,,ukimwingia kiakili anaingilika! labda ulienda kichwa kichwa!! Au siku ya kwanza tu ulitangaza ndoa??
nipe tuition Mkuu nipate gia ya kuvunja ukuta wa berlin uliozunguka roho ya Lizzy!
 
Loh, Bishanga wewe....kunipeperushia ndege wangu mtarajiwa jamani??? Na humpati tena Lizzy,utabaki kufumaniwa tu uswahilini

Michelle hapa unamaana gani Bishanga kakupeperushia ndege wako, are u SHE or HE
 
Back
Top Bottom