jf udaku:remix

jf udaku:remix

Naona Bishanga unahamu nikuletee Eliza wa Tegeta hapa!!!!
umejuaje? kuna mwanga mmoja wa jf alinipeperushia ndege wangu Eliza wa T baada ya kumpa umbea eti mi natoka na mama T,wamjua weye mama T?
 
Bishanga adondosha chozi nakuzimia baada ya kumfumania mkewe wake akiliwa uroda na jamaa mmoja jina limehifadhiwa
sio Nitonye,maana jana nimekuona unajitia kuvuta fegi kwenye banda la mangi nje ya fence yangu.
 
Kumbe Eliza wa Tegeta ana kiwanda cha veseline!! Tupate habari kamili uk wa ....

Yagundulika nitonye ni mwarabu wa njombe.
 
Baada ya nitonye kuwala chabo baba na mama mwenye nyumba, afukuzwa mtaa huo.
Aanza kutanga tanga mitaani kama popo

Tanmo aripoti kwa Paw akiomba hati miliki za jf udaku magazine.

Rejao ahamia CDM, arudisha kadi zake zote za kuzaliwa RITA.
 
Baada ya nitonye kuwala chabo baba na mama mwenye nyumba, afukuzwa mtaa huo.
Aanza kutanga tanga mitaani kama popo

Tanmo aripoti kwa Paw akiomba hati miliki za jf udaku magazine.

Rejao ahamia CDM, arudisha kadi zake zote za kuzaliwa RITA.
Bora nipigwe risasi!!!
 
Mkuu mi sakapoko nina ubavu wa kumwingia Lizzy? Lizzy matawi bana!
Lizzy mwelewa sana,,,,ukimwingia kiakili anaingilika! labda ulienda kichwa kichwa!! Au siku ya kwanza tu ulitangaza ndoa??
 
Kongosho kumbe dume??mama yangu ndo maana PM zangu,hazijibiwi?mbona topic zake zakike?
 
mimi sitaki utani leo jamani nina majonzi.siamini macho yangu kumuona regia kwenye jeneza inaniuma sana moyoni pls bishanga futa smile hapo
 
Dazipozi hajitosha kumposa bibi kizee Faiza Foxy,ampiga chini demu wake wa chekechea Lizzy
 
Rejao apewa kipigo cha nguvu baada kufumaniwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina moja tu la Husninyo
 
Back
Top Bottom