valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 889
Imefahamika;
aliyepiga mbizi kigamboni alikuwa The boss.
kabla ya kupiga mbizi nguo alimwachia mwanadada aliyefahamika kwa jina la smile avuke nazo wakutane ng'ambo ya pili. chanzo chetu kinaendelea kutunyetisha kwamba smile alichelewesha nguo hadi mgambo wakamkuta uchi wa mnyama. Mia
hah hah hah hah...hao wahusika wapo kweli hapa?