jf udaku:remix

jf udaku:remix

Cantalisia Atembea na Baba Yake, Mzee Mtambuzi
Na Mwandishi Wetu:

Wawili hawa walionekana siku ya jumapili mwezi wa kwanza, ambapo binti mrembo Cantalisia alionekana mitaa ya Tabata akiongozana na Baba yake Mtambuzi kuelekea kanisani. Familia hiyo ilifuatiwa kwa mbali na majirani zao wawili ambao ni wahudumu wa kanisa ambao kwa macho ya haraka haraka ya mwandishi walionekana kuwa wakihofia kuchelewa ibada hiyo kwani tayari zilikwisha pita dakika tano tangu muda uliopangwa kwa ibada kuanza.

hahahahaa!! MM1 umetisha mkuu
 
Bishanga ajikojolea usiku wa kuamkia leo. Mkewe ambae anajulikana kwa jina la eliza wa tgt amemwambia apulize godoro hadi likauke.
 
Bishanga ajikojolea usiku wa kuamkia leo. Mkewe ambae anajulikana kwa jina la eliza wa tgt amemwambia apulize godoro hadi likauke.

husn kikojooozi
na nguo kaztia maji......
Wakumbuka weye kamwimbo hako????
 
Michelle na Mtambuzi walivyo sherehekea mwaka mpya 2012
kk.jpg

mia
 
Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, amka Bishanga wangu, tapata wapi tajiri lingine la kihaya mie....lol
Michelle,umeona figa alivyoniua hapo juu? We mwache tu naenda kumsemea kwa mama,lol!
Mia
 
Husn ,just out of curiousity,hivi TF siku mbili tatu hizi mbona kapoa sana? Kunani?au kamtia mimba mtu jf anataka aingie mitini?

hehehehe! Mi nipo namuwakilisha. Una ujumbe wake nimpe ausome?
 
hehehehe! Mi nipo namuwakilisha. Una ujumbe wake nimpe ausome?

mwambie TF aje kwenye uzi huu,asome post zote za AD,kisha aseme lolote kama atakuwa nalo,maana mmmmmhhhh nimechoka kabisa,mambo mengine jf utadhania masikhara kumbe watoto wa mjini wanafanya kweli!
 
mwambie TF aje kwenye uzi huu,asome post zote za AD,kisha aseme lolote kama atakuwa nalo,maana mmmmmhhhh nimechoka kabisa,mambo mengine jf utadhania masikhara kumbe watoto wa mjini wanafanya kweli!

kashasoma atajibu kesho
 
Back
Top Bottom