jf udaku:remix

jf udaku:remix

Acha tu, siku nikikuona nae dearest tutapigana,na unajua nitashinda....kaa na huyu mtu mbali.

Natamani niione hiyo siku nione jinsi mtakavyotoana manundu halafu niiripoti gazetini
 
afu na wewe kwa umbea?
Na kile kitop cha njano nlokuazima urudishe.

unanikumbusha wimbo wa lady jd.....wanaume kama mabinti....uanakula na kuvaa,hata condom unanunuliwa....na kitop na shanga tumvalishe....hahahaaaa!!!
 
Acha tu, siku nikikuona nae dearest tutapigana,na unajua nitashinda....kaa na huyu mtu mbali.

yaani kweli kabisa Michelle hutaki tajiri Bishanga awe mwili mmoja na mrembo Lizzy?nimekosa nini dear? Kama ni ukiwembe kwa ajili yake nitaacha!
 
yaani kweli kabisa Michelle hutaki tajiri Bishanga awe mwili mmoja na mrembo Lizzy?nimekosa nini dear? Kama ni ukiwembe kwa ajili yake nitaacha!

Tatizo la Michelle ana wivu sana atakuletea vurumai mkuu angalia halafu na wewe uache tabia ya ukic...che
 
Tumeyamaliza,amerudi...nimempokea...hamchelewi na maneno yenu...nikuone!

sasa huyo mmeo mbona kauchuna? Mwabie arushe poem ya kushukuru,afteralll sisi ndo tulikushusha munkari.
 
yaani kweli kabisa Michelle hutaki tajiri Bishanga awe mwili mmoja na mrembo Lizzy?nimekosa nini dear? Kama ni ukiwembe kwa ajili yake nitaacha!
Una maneno sana, huwezi hata kaa na kitu rohoni,kunikuta kule ukaja kusema huku....mimi nilikusema kwa kuwa mimi ni kazi,wewe ukaja tu uakakurupuka kunitangaza tena ukataja na jina la mume wangu...umeniudhi sana....sasa, Lizzy humpati....ukiwembe acha kwa manufaa yako.

Tatizo la Michelle ana wivu sana atakuletea vurumai mkuu angalia halafu na wewe uache tabia ya ukic...che
Bora ushalijua hilo,moyo wangu ukiwa sehemu naweza fanya lolote lile....Bishanga kanigusa pabaya sana aisee....!
 
sasa huyo mmeo mbona kauchuna? Mwabie arushe poem ya kushukuru,afteralll sisi ndo tulikushusha munkari.

Karibu nyumbani umuone...wabaya wangu mlifurahi mkijua harudi, karudi na amepokelewa...kazi kwenu!
 
Imefahamika;
aliyepiga mbizi kigamboni alikuwa The boss.
kabla ya kupiga mbizi nguo alimwachia mwanadada aliyefahamika kwa jina la smile avuke nazo wakutane ng'ambo ya pili. chanzo chetu kinaendelea kutunyetisha kwamba smile alichelewesha nguo hadi mgambo wakamkuta uchi wa mnyama. Mia
 
Mamaaaa!! Hawakumfanya kitu chochote?
 
Awali ya yote naomba nikiri mbele ya hazala hii kuwa uzi wa 'jf udaku' kwangu ulikuwa ndo sredi of ze year 2011.
Kudos kwa aliyeshusha uzi huo (jina la mdau husika memory un reachable).
Ndugu zangu naomba tuli fresh our memories kwa uzi ule na tuuenzi kwa kupiga remix yake (tuchanganye ala za uzi ule na mpya).Bishanga naanza na headlines hizi za gazeti letu pendwa,edition ya kesho:
1.feisbuku afumwa gesti akiwa na mme wa mtu,katika purukushani adondosha avatar yake.
2.Yabainika: aliyewachonganisha Hashycool na Michelle kumbe ni The Boss,Michelle amuumbua mbele ya Hashy(full news pg 4)
3.malaria sugu na OTIS warudisha kadi za CCM,wajiunga na DP chama cha Mtikila,Freeman naye mbioni kuwa join.
4.Dena na Lizzy waonekana pamoja katika tete-a-tete katika kitchen party ya Husninyo,harusi yake na Rejao jumamosi ukumbi wa igongwe bar.
5.Kongosho kumbe ni mwanaume!
6.yametimia! TF kufunga ndoa na AD.
7.Bishanga afumaniwa na mke wa mtu,mgoni wake aonekana akinoa jambia eneo la tukio!
8.Ashadii atoa tamko,'kuanzia leo siingii tena jf' ,kisa kamili uk wa 8
9.Babu DC aonekana maeneo ya Ikulu akifuatilia malalamiko ya wastaafu wa iliyokuwa EAC.
10.Nyaningabu azipiga kavukavu na figganiga,kisa kugombea kakuku ka kienyeji maeneo ya temeke sokota!mia
@ All rights reserved by Tanmo,any copyright infringement will be reported to Ashadii.

To be frank, i hate tabloids coz they always publish neauseting and nasty stories.
BUT this tabloid of yours, WILL SELL(to JF members and frequently visiting guests exclusively) for sure i can guarantee that.
hapo imekosekana tuu umbea mmoja... wa .... mwenye aliyeandika uzi anajua tayari nini kimemisi.
 
Back
Top Bottom