jf udaku:remix

jf udaku:remix

Hahaha mmenipunguzia machungu ya msiba aisee,hili gazeti ni noumer
unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.
 
Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala
Dudu,Kaba keshadakwa na manjata yuko central,kesho anapelekwa kisutu,tuhuma za ufataki.
 
habari zilizotufikia sasa jiji la jamii forum limevamiwa na al shababy wakiongozwa na Rejao, risasi zinalindima tu naona kongosho anamtafuta bishanga hamuoni, wananchi wa hapa jamii forum wametaharuki, kwa sasa kamati ya ulinzi inayoongozwa na Nyani Ngabu inakutana kwa sasa, mda si mrefu raisi atawahutubia wananchi
 
nyaningabu mwoga wa mike,mike kampa Lizzy amsaidie kuongea.
 
intelijensia yako ilinunuliwa china.
Habari za kuaminika zimetuhakikishia Rejao ana mbegu za mihogo na aliziuza kwa husyn.

Sasa hivi yeye ni housing tu hana vile virutubisho vya mawasiliano.

mbona intelegensia niliyonayo inasema ni mimba ya Rejao?
 
@michelle, nimecheka sana tuhuma zako
na nna hasira za kufa mtu.

Anyway, acha niendelee kuripoti habari.

michelle amfanyia kongosho shambulio la aibu, amtukama ma.tu.si ya ngozini.
Habari kamili UK wa 3

he he he he: Kongosho apokea kichapo cha mbwa mwizi...ni baada ya kukutwa na mume wa mtu...Habari UK 29
 
Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala

habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba duduwasha alikuwa ni baba wa ubatizo wa huyu kijana,,mwenyewe akiri!
 
unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.

he he he he he.....Habari ndo hiyo...atabakia tu kidogo anicharange kila siku....chezea Michelle sasa...nimeaga kwetu bwana!!
 
unamfahamu mtu anaitwa Mrs Michelle Hashycool?(jina halisi Ray C), Nasikia mchana huu kafumaniwa na mmewe tandale uzuri akitoka gesti inaitwa mtakuja,kidogo Hashy amcharange mapanga.

halafu hashy kapotea kweli ndo machungu ya kufumania ama?
 
Dudu,Kaba keshadakwa na manjata yuko central,kesho anapelekwa kisutu,tuhuma za ufataki.

bishanga adakwa na kongosho kichakani akila denda na mpolee, .MTM atokwa na machozi kumbe alimzimia huyu bidada,
 
Back
Top Bottom