Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Bibi yenu si member wa JF.
Haka kazee bana......kaselfish kweli!
Kwenye mambo ka hizi, kanapenda kajinome kenyewe tu!
Bibi yenu si member wa JF.
Daddy ake mtu handisamuje watu shuti kumgombania.....I can't wait
Daah..I wish ningekuwa Dar.Daaah I wish ningekuwa tz..
We sema tu kama hujawa interested.....wewe kama wewe!!
@lara 1.... Kama vipi tuvae mask, wengine sura zetu na avatar zetu haviendani jamani khaaaaaa!!!!!!! Unakuta mtu amepania sana kumfahamu CL kuja kuona sura lol anaweza akaghairi kimoyomoyo.......
Hahhaaaaaaaaa! Hamna Update wala nini! Mambo kimya kimya tu! Labda WOSIA WA OWNERS WA JF! Nani alivaa nini, alikua kujaje SIRI YA PARTY HIO! Ukihisi umebea utakupita lipiaaaaaa! LOL!
Otherwise wengine tukaoshe macho kesho! NAWAHI SITI NEXT TO Watu 8! ! LOL! Avumae baharini PAPA japo wengine pia wamo, ila mie huyo PAPA ndo naemtaka! Hahahaaaaaaa!
Usijali, camera flash OFF, shutter sound DISABLED utapata hadi picha.
@lara 1.... Kama vipi tuvae mask, wengine sura zetu na avatar zetu haviendani jamani khaaaaaa!!!!!!! Unakuta mtu amepania sana kumfahamu CL kuja kuona sura lol anaweza akaghairi kimoyomoyo.......
basi usisahau kuchangia JF....Umri wangu hauniruhusu tena kujirusha kwa sh 30,000 - hii pesa haitoshi hata kununua chupa moja ya Capt. Morgan...!
Mwisho leo! Asubuhi wanalipia MENU, na DRINKS! Ukichangia getini unafikiri atafanyaje hususani issue ye MENU!
hahahahahahahahaha dont be disappointed best
nani akose kuja kwenye party, lazima nije hapooooo escape 1 yaaaaani uhondo unipite hivi hivi weeeeeee haitatokea hiyooooo
daaaaaaaah kusema kweli maji yako shingoni nahahaje kutafuta wakopeshaji wa bila riba na mimi
AVERAGE JOE wangu nae kafulia mnooooooooo yaaani ananitia aibu anasema mshahara haujatoka na booom sina
anyway nitapambana mpaka kieleweke nipate hiyo 30k yaaani mpaka saaa sita usiku siku ndo inaisha lazima nitakuwa nishadunduliza imetimia
tuko pamoja sanaaaaaaa
lakini best mambo gani ya kuniaibisha mbele ya HADHIRA tenaaaaaaaaaa ahaaaaaa kila mtu anajua sijalipa niko broke NOT FAIR