hahahaha
Usijali, camera flash OFF, shutter sound DISABLED utapata hadi picha.
ha ha ha sasa nini jamaniiiii.....JARIBU UONEEEEEEEE! Thubutu cc Vene uone!!!!!!!! Kama ustaarabu huuwezi USIJE!!!!!!!!
Ha ha ha Babu bana,
Bibi je hukumchangia?
JARIBU UONEEEEEEEE! Thubutu cc Vene uone!!!!!!!! Kama ustaarabu huuwezi USIJE!!!!!!!!
Weeeeeee! Mpaka tuitwe, are u kidding me!? You cant be serious! Labda Heaven on Earth ambae hataki KUWINDA mpaka bahati limdondokeeeeeee! Kwa sie wawindaji hapa naoa mkuki, na kutest upinde!
Shost inabidi uweke na mabaunsa aisee..... maana wengine huku tumetoroka kwa waume zetu afu ghafla anaona maukodak tokea pande za Escape lol!!!!!!!!
Shost sipichiki mieeeeeeeee............ Macho yote yamesafishwa spesho kwa ajili ya kumuona watu8 tu!!!!
Hii inawahusu zaidi dotcom...!
Kila mtu ale kwao.........kwenye party ni tequila shots na bia za rashasha!!Mwisho leo! Asubuhi wanalipia MENU, na DRINKS! Ukichangia getini unafikiri atafanyaje hususani issue ye MENU!
Mzee ..... kaunta ya juu inahusu sio?:A S thumbs_up:Hii inawahusu zaidi dotcom...!