JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

Hii mikwara kampige mbuzi,nisije wewe ndiye umenilipia?

SASA NDO NAKWAMBIJE KUTOA HIO 30K ISIWE ISHU UTUHARIBIE PARTY! Tunweza kukurudishia VILE VILE! Kulipa isiwe ndo nongwa! PICHA HAZIRUHUSIWI!!!!!!!! HUTAKI SEPAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!

Hii ni hserehe ya waungwana na uungwana ni vitendo! PICHA HAKUNA! !!!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaass!
 
Mi nipo tayari ndio nafua ka kaunda suti kangu. Kama itawapendeza mkiweka wanzuki au komoni itanoga zaidi. Ila mambo ya kokodoleana macho kwa kuona wengine vya pombe sio fresh
 
WATU WA LOW ELF ESTEEM!!!!!!!!!! Sasa hata ukiwaona watu ukawajua ili hali hawakujali itasaidia nini?

kumuona mtu na kumjua sio lazima mtu huyo akujali,inasaidia tu kutunza kumbukumbu vizuri kwamba niliwahai kumuona X or Y.period.lmao.
 
i wish i was around walah... duh ngoja nipige mzigo mzungu asiwe mwekundu bure! all the best guys..enjoy
 
Wanaume wa JF wamenishindaaaa!!!!!!!!!!! 30k UNAZAMIAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!! Puuuuuuuuuuuuuuu! Wakati hio ni hela ya tots 2 tu sehemu zenyewe! Kuna watu kul raha wanakusikia tu!

nitamfikishia mapande yake huyu mzamiaji ili asifikirie kabisa kufanya hivyo.nitamwambia kubwa la maadui lara moko ka- spill the beans kuwa akikumata no excuses ni kichapo kwa kwenda mbele.
 
i wish i was around walah... duh ngoja nipige mzigo mzungu asiwe mwekundu bure! all the best guys..enjoy

Siku hizi uko UNYAMWEZINI!!!!!? Uko JUU!!!!!!!!!
 
SASA NDO NAKWAMBIJE KUTOA HIO 30K ISIWE ISHU UTUHARIBIE PARTY! Tunweza kukurudishia VILE VILE! Kulipa isiwe ndo nongwa! PICHA HAZIRUHUSIWI!!!!!!!! HUTAKI SEPAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!

Hii ni hserehe ya waungwana na uungwana ni vitendo! PICHA HAKUNA! !!!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaass!
Easy, ila nadhani utakubaliana nami kuwa there is no way utaweza zuia this let alone kujua someone has taken a snap. Best of luck
 
Mhh hayaa bana usituaimulie ila picha tuwekee tuone warembo wa jf
 
Easy, ila nadhani utakubaliana nami kuwa there is no way utaweza zuia this let alone kujua someone has taken a snap. Best of luck

Sisi ni WATU WAZIMA, na USTAARABU KITU CHA BURE! Sioni sababu ya JITU ZIMA kuwaiga watu picha kinguvu aje aziweke humu, ILI IWEJE??????????

Kama mtu unahamu sanaa ya picha WEKA YAKO BINAFSI! Otherwise utakuwa SO ANTI SOCIAL na utapata tabu sanaaa maishani KUMINGLE NA WATU! TRY TO FIT IN! Umekuta watu hawafagilii mi KODAC, hold your ground, follow the rhythm!

Kibaya zaidi hata ukipata SURA, ID ZAO HUNAAAA!!!!!!!!!!!!!!

NI USHAMBA WA HALI YA JUU!
 
Back
Top Bottom