Mabinti wangapi wameshachanga? Kama ni pungufu ya 10 nrudishie kahela kangu lol
Wacha wee......
Na yale macho yake sasa!!!
Angalieni watu msije mkaitika kabla hamjaitwa!
Hahhaaaaaaaaa! Hamna Update wala nini! Mambo kimya kimya tu! Labda WOSIA WA OWNERS WA JF! Nani alivaa nini, alikua kujaje SIRI YA PARTY HIO! Ukihisi umebea utakupita lipiaaaaaa! LOL!
Otherwise wengine tukaoshe macho kesho! NAWAHI SITI NEXT TO Watu 8! ! LOL! Avumae baharini PAPA japo wengine pia wamo, ila mie huyo PAPA ndo naemtaka! Hahahaaaaaaa!
Heaven on Earth Kufuta futa ujumbe ndo nini sasa...???
Mabinti wangapi wameshachanga? Kama ni pungufu ya 10 nrudishie kahela kangu lol
Mmmmh......heri yenu!
Mabinti wangapi wameshachanga? Kama ni pungufu ya 10 nrudishie kahela kangu lol
Raha ya Dushlele ulikalie, na RAHA YA NGOMA INGIA UCHEZE!!!!!!!! Hahahaaaaaaa! Nishaanza kuweka vyombo leo mapema yotee hii, kesho patatosha kweli?
Wacha wee......
Na yale macho yake sasa!!!
Angalieni watu msije mkaitika kabla hamjaitwa!