JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

Nimefika hapa tayari, kwanza nielekezeni njia ya msalani
 
weeh nawe hufai! sasa kuku-whatsup picha yangu mara moja tu ndo umeamua kunianika humu. mie sipendi kutongozwa bwana, ntakurudishia ki-galaxy note 3 chako. weeh nichezee tu

Ndo nshakuona sasa, ngoja nianze mtongozo
 
Back
Top Bottom