Jf members wanao penda ku-flirt PM

Kwakweli kwa hili halinihuu nafurahi kumbe kuna mambo humu eeehhh

RR embu naomba ufafanue alichoquote DA, niliamua kupotezea mwanzoni ila nomeona niulize.
Lini na wapi nilianzisha hiyo thread?Maana sijawahi kumweka mtu yeyote kwenye ignore list, wala sijawahi lalamika mambo ya PM jamvini.
 
Kaka,chonde chonde usininyang'anye hii bunduki! Hata sweetie wako anajua, bora nikiwa nayo walau hawanichokozi sana. Nikiikosa wakinichokoza nitawapa kung fu moves hapa nitavunja mtu shingo hasa hawa watoto wanaoflirt na mie wakipata boom!
See u at mlimani city, naomba uniagizie grilled prawns masalla kuhamasisha mori wa kwenda kunywa juisi magogoni. Count me very very!
 

Hata msifikirie kutu danganya hapa..
Mmoja wenu alishindwa kukiri alijua vipi
kuwa watu wanatumiana PM za kuomba "Thanks."
Nilimuuliza alijua vipi hakunipa jibu . sasa kweli mnadhani tutaamini nyie hamnsomi PM?
 

Hata msifikirie kutu danganya hapa..
Mmoja wenu alishindwa kukiri alijua vipi
kuwa watu wanatumiana PM za kuomba "Thanks."
Nilimuuliza alijua vipi hakunipa jibu . sasa kweli mnadhani tutaamini nyie hamnsomi PM?

Ahsante sana Rubani.
 
Nisikutongoze mimi urubuniwe na wazushi humu?
Hehehehe sina umbea leo nawaza tu ma-deadline.

Endelea kunitongoza kwa nguvu zote mawazo yatapungua mamito..
Pole mwaya ukipata muda nishtue basi ntakutia moyo...
 
(Just my imaginations):
12. Mpiga chabo: Ninakuona, kumbe ndivyo unavyolala hivyo? (akijifanya kama anakuona wakati hakujui humjui sembuse kujua unakoishi).
13. Dispaired: Akimbilia JF akidhani ni Facebook na kumtumia Flirt PMs kwa wenye jinsia kama yake.
 

reverse psychology...
 

Umenena cha maana..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Captain Nakesi na wewe..
Itakuwa vema ukini tafuta kwa muda wako.
Naomba usinitumie PM na usifikiri kunifukuza kazi..

Haya rubani nitakutafuta, utendaji wako wa kazi πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ ni mzuri sana Board of Directors ya Airline ile lol! wanafikiri kukupa bonus kubwa sana ya mwisho wa mwaka hivyo usiwe na wasiwasi wa kufukuzwa kazi.
 


vigezo gani vinatumika kuteua au kuchagua JF moderator?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…