AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
@AshaDii
Ujue mkimsema TB mnanipa ulcers, ngoja amalize kuoga aje hapa utamtambua.
Hana cha By night wala By day
Relax dear... I could not resist... He was such a perfect fit! lol
@AshaDii
Ujue mkimsema TB mnanipa ulcers, ngoja amalize kuoga aje hapa utamtambua.
Hana cha By night wala By day
Unaleta kiburi vile ur swetie z around eeh? Umesahau nilikuwa mtetezi wako wakati hakuwepo?Ladies..
The Shy one First lady
The Classic one Kingasti
The Childish one twenty2
JF by night Husnynyo
Fundi cherehani Sweetlady
The executive - Lizzy
The naughty one Smiles
Action woman Kongosho
The fake lady Cantalisia
The inquisitor Nemo
Surprise Eliza wa Tegeta
@AshaDii, hivi kwani hii ni sred ya udaku?
Au mi nakosea? Am very shy no action kabisa
afu TF kakuhonga? Mbona kakosekana kwenye ligi wakati ndiye mfungaji bora?
Umeonae? Mwambie switie wako asiziamini sana hizi id na avatar za jf...lol.Sweetie apo unaweza kuhakikisha kama wote apo ni SHE? manake kuna wengine jinsia zao ni utata kabisa.....lol usishangae unapata PM ya tongozo kutoka kwa "Sweetlady"
Sweetie apo unaweza kuhakikisha kama wote apo ni SHE? manake kuna wengine jinsia zao ni utata kabisa.....lol usishangae unapata PM ya tongozo kutoka kwa "Sweetlady"
Unaleta kiburi vile ur swetie z around eeh? Umesahau nilikuwa mtetezi wako wakati hakuwepo?
Umeonae? Mwambie switie wako asiziamini sana hizi id na avatar za jf...lol.
Nje ya mada: kaka una kesi ya kujibu..
Umemwacha anaoga mwenyewe? LOL
Lol.....mie nakuchokoza tu lovely wifi...nakuona unavyotabasam kila sekunde vile my lovely kaka yupo around....Oh! My sweet sweet lady... We si ndo uliniambia nisiwe naongopa? Dah!
Relax dear... I could not resist... He was such a perfect fit! lol
hahaha...naaa unanionea love, but nadhani kuadd moja sio mbaya lol
Khaaa! Wifi nambie unatania kabla sijaanguka kwa presha hapa niliposimama....sipendi/sijawahi kufikiria kumboa wifi angu kipenzi ashadii, ila kama kuna nilipoteleza hebu pitisha msamaha haraka kwa afya yangu jamani..... Mie nakupenda pia wifi angu tena zaidi ya sana.Hata wewe na Husny..... Mmeniboa ile mbaya... thou bado nawapenda! lol
Lol.....mie nakuchokoza tu lovely wifi...nakuona unavyotabasam kila sekunde vile my lovely kaka yupo around....
Wapi Bishanga tumchangie?
Unaleta kiburi vile ur swetie z around eeh? Umesahau nilikuwa mtetezi wako wakati hakuwepo?
Hata wewe na Husny..... Mmeniboa ile mbaya... thou bado nawapenda! lol
Mkimsema sema anawakonfuzi akina mpolee
unajua jana ilinikost kiasi gani kurudisha mood yake baada ya mpolee?
Almanusura nikose cha jioni aisee
Khaaa! Wifi nambie unatania kabla sijaanguka kwa presha hapa niliposimama....sipendi/sijawahi kufikiria kumboa wifi angu kipenzi ashadii, ila kama kuna nilipoteleza hebu pitisha msamaha haraka kwa afya yangu jamani..... Mie nakupenda pia wifi angu tena zaidi ya sana.
Wifi, kesi ya kaka unamjibia siku hizi? Umekuwa kama kongosho banaa!
Mi najua nna kesi na ww ila hatudhuriani, najua I am abusing ur being understanding,bt I can't help it.
(Hii gun inabidi niitue nivae skintite, mbona watu waha-flirt na mie? Ama kakako kachimba mkwala humu?)

Asante mke mwenza....wifi ameanza manyanyaso siku hizi, au ameukwaa Ukurugenzi sehemu?Wifi, kesi ya kaka unamjibia siku hizi? Umekuwa kama kongosho banaa!