Jf members wanao penda ku-flirt PM

Jf members wanao penda ku-flirt PM

Wewe nasikia kwa vile hutakiwa watu wajue kama "unaweza kuona PM zao" ukitaka kuwaambia kitu, unatumia ufundi wanadhani wamejitumia email wao wenyewe!

Hutaki kujikweza hata kidogo :]]
lol hehehe umenikumbusha mbali kweli mwalim, kuna siku mzembe nilijipinda naandika PM na urembo kibao, kumbe niko kwenye profile langu, hakyanani nilijiPM mwenyewe, jaribu usibitishe.
 
Ha ha ha hiyo kule kwetu uswahilini tunasema "Mungu kakulaani"...sijui ulikuwa umetunga uongo kiasi gani humo kwenye thread mpaka Sir God mwenyewe akaamua kufanyia sensa! Khaaaa
 
Cantalisia: Jaribu kufuta PM zako maana naona zimejaa!

kloro: Acha kutuma PM kwa "nanii" - nimekusaidia kuzifuta zile ulizotuma jana!

Gaijin: Kumbe mara ya mwisho wewe kutuma PM ilikuwa Jan 2010?

Lizzy: Naona umefuta PM zako zote baada ya RR kupost hii thread!

Hahahahhaa.
Nimezisave kwenye pc kwanza. . . just incase.
Mtu anaweza akaniletea za kuleta humu, ikitokea napublish PM zake za kizushi.
 
lol hehehe umenikumbusha mbali kweli mwalim, kuna siku mzembe nilijipinda naandika PM na urembo kibao, kumbe niko kwenye profile langu, hakyanani nilijiPM mwenyewe, jaribu usibitishe.

hahaaa haaaa ilikuchukua muda gani kuremba halafu ukajikuta unaji PM mwenyewe?
nakumbuka kuna Member aliandika matusi sasa badala ya kupost aka report Abuse hapo hapo PAW akamramba BAN
 
hahaaa haaaa ilikuchukus muda gani kuremba halafu ukajikuta unaji PM mwenyewe?
nakumbuka kuna Membr aliandika matusi sasa badala ya kupost aka report Abuse hapo hapo PAW akamramba BAN
Nikikumbuka hili tukio huwa nacheka sana aisee
 
hahaaa haaaa ilikuchukus muda gani kuremba halafu ukajikuta unaji PM mwenyewe?
nakumbuka kuna Membr aliandika matusi sasa badala ya kupost aka report Abuse hapo hapo PAW akamramba BAN
ilikuwa mmasai
 
jamani kuna wanaoona pm za watu nini,mbona mnatushtua hivo

.....Wanaona banaaa ndio ukae ukijua hivyo. Kama una ubavu wa kuandika PMs za kutongoza ambazo unajua fika zinasomwa basi kila la heri ila kama unahofia kwamba utongozaji wako 🙂🙂🙂 unasomwa labda na watu mbali mbali basi STUKA SANA!!!...tafuta njia mbadala ya kuendelea kupiga speed 🙂🙂

Last edited by a moderator:

Hili nalo neno BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
gaijin kuna mida nimeingia hapa nikaona status yako Super Moderator kidogo nikutumie email nikwambia hongera ,sasa natazama tena hamna lol nimebaki kukodoa macho:lol:

Wee acha tu....Invisible ana masihara kweli kweli!
 
.....Wanaona banaaa ndio ukae ukijua hivyo. Kama una ubavu wa kuandika PMs za kutongoza ambazo unajua fika zinasomwa basi kila la heri ila kama unahofia kwamba utongozaji wako 🙂🙂🙂 unasomwa labda na watu mbali mbali basi STUKA SANA!!!...tafuta njia mbadala ya kuendelea kupiga speed 🙂🙂

hakuna namna ila kuna avatar yenye macho mazuri mi nitatongoza tu hata wakiona pm
 
Last edited by a moderator:
Kawaacha wote baada ya dume la nyani kumwibukia
Duh! Nikiweka wazi hiyo lazima nipigwe saver ban mie ukoo wangu mzima. Manake si unajua The Boss kuliko Tingatinga, humu ndani mtakuwa hapatoshi 😀
 
Back
Top Bottom