Jf members wanao penda ku-flirt PM

Jf members wanao penda ku-flirt PM

Ahsante sana Rubani kwa hizo images za kukata na shoka. Mwaka huu niliuanza vizuri sana namshukuru sana Muumba wetu kwa hilo na unaelekea kwisha vizuri kabisa. Ukibahatika na bahati kubwa kama hii inabidi tu umshukuru Muumba wetu.

_vector-xmas-ornament-background-preview-by-dragonart.jpg

Happy-New-Year-2012-HD-Wallpaper.jpg

Kabisa Captain.
Ni jamho la kushukuru kwa kweli kama siku zako nyingi zilikuwa njema.
Ni jambo la kushukuru pia kama siku hazikuwa kama tulivyopanga maana
hakuna kibaya kisicho na kizuri ndani yake. ubarikiwe zaidi kwa 2012..
take care for now..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Shukrani sana Rubani, pia nimefurahi kwamba kesi nimeshinda hahahahah lol! bila hata kuhitaji wakili 🙂🙂 Na wewe nakutakia kila la heri katika 2012 na kila ulitakalo lifanikiwe nami nitakuwa nakuombea kwenye sala zangu.
 
hahahahah Captain
Kesi hujashinda bali hii kesi iko kwenye msimu mzuri.
msim wa upendo. huu ndo msimu nasamehe bila kufikiri..
Unabahati wewe hahahahahah. ingekuwa baada ya siku 18
ungeona che mtama kuni. lol

Asante sana captain..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahaahahah unakitaka.
mpaka leo nimesoa topic moja tu .

Well, unataka niendelea kutoa mbinu za hawa mods au hutaki?Seriously though, we fanya mpango alafu mi ntakupa summary ya yale yanayopendeza wewe kujua.

Alafu I got something for you, so fanya mpango unitafute.
 
Alinipa mimi ila sijamaliza kukisoma nikimaliza nitakutaarifu ili uje kukichukua 🙂🙂 hahahahaha lol!
Hahahahahha.
Na wewe umeanza lini kusoma BAK?Siulifeli darasa la mwandiko na kusoma wewe?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahah Captain
Kesi hujashinda bali hii kesi iko kwenye msimu mzuri.
msim wa upendo. huu ndo msimu nasamehe bila kufikiri..
Unabahati wewe hahahahahah. ingekuwa baada ya siku 18
ungeona che mtama kuni. lol

Asante sana captain..

Hahahahahah lol! Kumbe eeh! huu ni msimu mzuri sana wa kufunguliwa kesi maana hakimu hakawii kukumezea na kukupa uhuru wako katika kipindi hiki cha shamra shamra za Xmas, Kwanza na New Year 🙂🙂...vinginevyo ingekuwa msimu mbaya ningetupwa lupango mvua tatu na kazi nzito lol!...Ahsante sana Rubani kwa kusikiliza utetezi wangu.
 
Hahahahahha.
Na wewe umeanza lini kusoma BAK?Siulifeli darasa la mwandiko na kusoma wewe?

Hahahahahah lol! hayaaa banaa...ila kweli ninacho mimi 🙂🙂🙂 sasa kama una mpango wa kupita mitaa hii karibu sana vinginevyo itabidi mpaka nikimalize nikirudishe kwa AD ukakichukue kwake. Mwandiko deal banaaa!!!! utakuaje na mwandiko kama wa daktari hata kusoma hausomeki utafikiri kuku kapita!!!!! lol!
 
Well, unataka niendelea kutoa mbinu za hawa mods au hutaki?Seriously though, we fanya mpango alafu mi ntakupa summary ya yale yanayopendeza wewe kujua.

Alafu I got something for you, so fanya mpango unitafute.

Bwana ee is a free world & you only live once..
Em endelea kutoa hizo mbinu. naona kile kitabuu
kina kufaa wewe sjui nikutumie kwa Xmass hahahah lol

duhhh tuingie basi kipande cha pili hicho kitu ulicho nacho
kwa ajili yangu nakitaka. maana nikiomba utaanza kunipiga mtama haha..
aka ngwara lol
 
Hahahahahah lol! hayaaa banaa...ila kweli ninacho mimi 🙂🙂🙂 sasa kama una mpango wa kupita mitaa hii karibu sana vinginevyo itabidi mpaka nikimalize nikirudishe kwa AD ukakichukue kwake. Mwandiko deal banaaa!!!! utakuaje na mwandiko kama wa daktari hata kusoma hausomeki utafikiri kuku kapita!!!!! lol!
Wewe na yeye wote fanyeni mpango wa kunifikishia kabla ya kesho maana nilishaahidiwa.Nisipokipata napublish viPM vyenu jamvini.Lolzzz

Alafu mwandiko, dah sitaki kukumbuka mwl. wetu alivyokua anafinya ukipindisha.Utadhani walitaka kutugeuza typewriters. . . .
 
Back
Top Bottom