JF Members in their real pictures... LOL!

mtani wangu ZOMBA niliipata picha hii kwenye albamu ya mjomba wake.
images
 
Sister....hii picha ya zamani siku hizi nimerefuka na mke wangu sweetlady amezidi kuwa mrembo zaidi ya hapo...lol
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

AshaDii - Kuna watu walizaliwa kuwafanya wenzao kujisikia "raha" - nadhani wewe ni mmojawapo...!

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg

hahahahahah AshaDii umenifurahisha pole kwa kutopata usingizi ukaweza kutuletea haya mavitu......shemeji rudi sisy anataabika gfsonwin punguza manjonjo Kaizer atende haki pande ile

Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!

Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza

BlackMen.jpg

Umejuaje kama nina dreads; aisee sikuwezi, ungekuwa Kongosho ningesema wewe ni gagula. LOL

Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!

Julia_Sebutinde.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic jaribu hii kuangalia kama utafanikiwa... Polee... Tena ulipendeza... lol

hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg
AshaDii hiyo picha itakuwa fake mbona imekataa kufunguka? Na utakuwa umeipataje? Maana albums zote mie nilizificha ili msiniibie picha.
 
Last edited by a moderator:
Hi Dears...

Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol
Anaetufungulia ni Mwali...

african-woman-black-and-white.jpg

Update:
AshaDii: In my own courtesy (Roulette) alter utajibeba nimeweka picha yako na wewe!

post.png
Cute....lol.............
 
mwaJ natoa hio picha, ngoja niwaletee ingine, lazima muone jinsi mlivotokelezea... lol

AshaDii nimependa picha ya mwali! vipi kaolewa! :redface:

Njiwa Mwali hajaolewa na mimi ndie shangazi yake... lol (ila bado anasoma)

AshaDii sikuwezi, Khaaa!

hahaha! Thanks...

hahahahahaahahaha! dah! sijacheka siku nyingi sana aisee! mbali na kucheka sana nimejikuta tu nina furaha nyingi leo, haya bana AshaDii naona umefanikiwa kututoa kwenye msiba wa Mwangosi.

Habari ya siku mkuu? Nimefurahi kukuona na beta yet nimefurahi zaidi kuwa siku hio nilifanya iwe ya furaha... Hopefully ipo hadi sasa... Pamoja sana...

Mkuu AshaDii,

Mimi nilipoona umeshika kamera nikakimbia maana naona umezipiga picha nyingi kwa ustadi wa hali ya juu .

Pig up mkuu.

Lol

Nakuonea huruma... Ndio unavojidanganya? hahaha!

Yaani huyu mrembo ingekuwa ni consumable product watengenezaji wangeandika hivi, "100% NATURALLY SWEET, NO SUGAR ADDED but not adviced to people with income less than $4,000 a month! ENJOY RESPONSIBLY

Escobar! Nimecheka sana kusoma hii... aisee.... lol

Perfect Work, INNOVATIVE

Thank you dear...

huyu dada AshaDii nahisi mchawi, au mtu wa TISS nini, iweje utoe picha zinazofanana na wahusika aisee? kwangu hujakosea kabisa.

Acha woga bana! hahaha!

hahaha ashadii we kweli kiboko hahaha.hii thread imesimama

Thank you Saint... Humbled.

Didi... Naona leo umeamua

salam namaste yaar... lol... It has been long. I hope you are well and good.

Yaani AshaDii hakuna hata member mwenye mpododo nichumbie?

Fidel umewahi muona Zinduna? naomba tu usimwambie nimekuibia picha yake kuweka hapa...

254133_113537478735196_100002368332857_141700_2531810_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg

Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!

Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza

BlackMen.jpg

Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!

Julia_Sebutinde.jpg

Ha ha ha,very fun kwakweli.
Thank you sana,enzi hizo nikiwa bado kijana mdogo sana.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii, You have 100% make my day.....!!!niko ofisini hapa naongea kizulu (iSizulu) mwenyewe...umeninanihii sana kwa hizi picha.
 
mwaJ natoa hio picha, ngoja niwaletee ingine, lazima muone jinsi mlivotokelezea... lol

Njiwa Mwali hajaolewa na mimi ndie shangazi yake... lol (ila bado anasoma)

itabidi niongee na Mwali pembeni! .. lakini ! shangazi AshaDii aim a Hubby material ambaye any decent girl out there angependa kuwa na mimi ... this is what i promise to u

1. i will believe in mwali - i will encourage her to pursue her dreams, or at the very least i will never ever stand in her way.

2. I WILL NEVER SWEAT ON THE SMALL STUFF - I will never get frustrated if she leave the milk out of the fridge. pia i wont be very upset if she will be 10 minutes late? i will never yell at mwali if she misplace the remote or etcl

3. I WILL GIVE HER FREEDOM TO TELL ME ANYTHING

4. SHE WILL LOVE MY SCENT

5. I WILL DO DISHES

6. I WILL GIVE HER SPACE

7. I WILL TAKE HER SERIOUSLY

8. SHE WILL BE THE ONLY ONE

9.AM A KIND OF MAN WHO STANDS ON HIS OWN TWO FEETS

10. I WILL LET HER SET THE PACE -

NITAMSOMESHA! ...

P.S AIM A FUTURE UROLOGIST AS U KNOW PATIENCE IS WHAT DOCTORS WE DO HAVE ...

TOA RUKSA! SHANGAZI TUJIPANGE!

hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg

Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!

Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza

BlackMen.jpg

Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!

Julia_Sebutinde.jpg

Ashadii
Nashukuru sana,umenikumbuka enzi hizo baada ya kutoka chuo cha Ualimu na slogan ya ualimu haiba bwana,tai kwa sana na chini kitambaa.
sasa haiba haipo tena ni tope tu masaa yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom