JF Members in their real pictures... LOL!

JF Members in their real pictures... LOL!

hapa juu ni full jamii forums hahahahaha boss atajijua kwakweli
scan0003.jpg me myself and i hahahah id ya ukwee na picha ya ukwee kikinuka rahisi kunikamata hahahaha
 
Attachments

  • scan0001.jpg
    scan0001.jpg
    87.3 KB · Views: 653
AshaDii nimefurahi kupitiliza ila mbona Cantalisia sijamuona? Alafu picha uliyonipiga iliungua enzi hizo hakuna Digitali full Yashika aaha ahaa
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...

I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg

Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!

Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza

BlackMen.jpg

Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!

Julia_Sebutinde.jpg

hahahaahahahaha AshaDii umenichekesha sana, nlikuwa sichacheka tokea asubuhi, internet ya mgawo so siingii sana huku, bosi amechukua ki ptop chake eti naingia sana JF
 
Last edited by a moderator:
Aseeee.........
Duh!!!!

Kaka Bigirita nimeruka post zote bado kuzijibu ili tu nikusalimu 'with love' kabla hujaishiwa bundle hahaha! maana ni kitambo sijagongana na wewe! Mzima wewe?
 
Kaka Bigirita nimeruka post zote bado kuzijibu ili tu nikusalimu 'with love' kabla hujaishiwa bundle hahaha! maana ni kitambo sijagongana na wewe! Mzima wewe?
mie Mzima......tatizo huku Loliondo mtandao tabu sana...!!

kuishi bila kupambana na Rejao na Zomba hainogi kabisa.!!
Nikipata nauli, nitarudi mjini.
 
mie Mzima......tatizo huku Loliondo mtandao tabu sana...!!

kuishi bila kupambana na Rejao na Zomba hainogi kabisa.!!
Nikipata nauli, nitarudi mjini.

hahaha! Hilo hata mimi naona kabisa... Team ya ukweli ya upambanaji... Na amini nakuambia hata wao wamekumiss... Naona binti Msoffe kakurusha roho... lol
 
hahaha! Hilo hata mimi naona kabisa... Team ya ukweli ya upambanaji... Na amini nakuambia hata wao wamekumiss... Naona binti Msoffe kakurusha roho... lol
Sema taratibu nanihii asisikie......huwa anapita pita humu atiii!!!
:tape2::tape2:
 
Kaka Bigirita nimeruka post zote bado kuzijibu ili tu nikusalimu 'with love' kabla hujaishiwa bundle hahaha! maana ni kitambo sijagongana na wewe! Mzima wewe?

mie Mzima......tatizo huku Loliondo mtandao tabu sana...!!

kuishi bila kupambana na Rejao na Zomba hainogi kabisa.!!
Nikipata nauli, nitarudi mjini.

naona mmegeuza hiki kijiwe cha salamu haya endelea kutuma salamu za ugua pole kwa wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom