Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
Wameelekezeana mitutu migongoni si watatunguana wenyewe atakayepona ni yule wa mwisho hahahaha........
haiwezekani invisible akawa mbele yeye ni in-(visible) not visible - haonekani kwa naked eyes
Wameelekezeana mitutu migongoni si watatunguana wenyewe atakayepona ni yule wa mwisho hahahaha........
Mkuu Nguruvi3 hapo kiukweli umejibu mapigo! aiseee! Mie nikitaka kama hii nifanyeje?
![]()
hahaha! Haswaaa... hata kama ningeikosa huko na Gaijin ana copy ya hio picha ila alimpa bht amhifadhie... Hebu ona wadogo zako wanavyojitangaza kuwa wapo hata face book.
Toka kulia platozoom, Judgement, Young Master na C6 ... Kaaaz kweli kweli lol
![]()
Vijana wakiwa wanafurahia mafanikio baada ya kumpata mfadhili waliokuwa wakimsaka siku nyingi... Huyo mwanamama mzungu ni mke wa Bill Gates. Hao walios simama Manyanza, Baba V, Tuko alafu hao walioketi wa miwani Manumbu na huyo mwingine aliechekelea sana ni yoyo ... Hongereni sana jamani... lol
![]()
Dah! ndio mana kanuna? nimechanganya na ile ambayo haipo konfidesho... lol.. Hizo nyonyo ziache hivo hivo, akikusikia klorokwini mnaweza kosana kabisa... hahaha.. As usual nimefurahi kukuona shemeji yangu, hopefully karibu utatutembelea na familia yako... lol
Hawa watu umewaona wapi?
Mwanajamione, Nyamayao, Maty, DaMie, Smiles, carmel, daughter na Mayasa... kama una habari nae yeyote hapo tafadhali waambie ninawatafuta naoza binti nahitaji msaada wao... lol Hapo tayari nisha onana nao kama Remmy, Yummy, charminglady, feis buku na Gaga (aliegeukie kule kavaa koti lekundu)
![]()
Nimefurahi umefurahi kaka DC... Na hilo la plus one wangu inabidi nitafute suluhisho... lol
Mzee wangu mbona unanitafutia case? Tena kaka Paw ana hasira za karibu kweli kweli! lol, yeye mwanaume bana hebu kacheki ile picha vizuri.... hahaha! Nimekuwekea na hii hapa alipiga na kakangu mwingine Steve Dii
![]()
Hapana Fidel nilikuwa kwa bed tu... mzima wewe? Unamfahamu zumbemkuu na Daudi mchambuzi? (hapo wakiwa na Consigliere ambae ni mzungu)
![]()
I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol
![]()
mmhhh... Tofauti na ninavo vuta picha yako!![]()
jamani here i am
Wakiwa wametoka kujadili hoja nzito ya kukiua chama cha maarufu cha "Infidelity" tokana kanuni mpya zilizowekwa picha ya tume husika ya chama hicho. Hapo mbele ni kiongozi wao Kaizer, wakiwa wamefuatiwa huko nyuma mstari wa mbele na Teamo, Asprin, ODM, Fidel80, TIMING, The Boss, Bishanga, Madabwada, Ndahani, Kimey, RR , Baba_Enock, fazaa, Mr Rocky, The Finest, klorokwini, hashycool, PakaJimmy... wengine hapo hawatakiwi kutajwa. wapo Incognito mode... lol
![]()
Hahaha! Poleee Kiranga kumbe ilikuwa siri? are you cheating? :dance:
Hebu wacheki hawa pozi yao... Kama vile hawajawahi piga picha au camera itawameza.... lol
Toka kushoto, Tbag Hatari, kiluwiluwi, Ndinani, Yegomasika, Philipo na KakaKiiza (eti hupigi picha mtandaoni.. Hii umeisahau? Pole weee! hahaha)
![]()
Hi Dears...
Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol,
Anaetufungulia ni Mwali...
![]()
Update:
AshaDii: In my own courtesy (Roulette) alter utajibeba nimeweka picha yako na wewe!
![]()
I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol
![]()
Dah thank God mi ya kwangu haijawahi onekana asee!
Nimeipenda ya Mamndenyi
Nimejitafutaweeee sijajiona............................ sijui ile picha iliungua kule studio...aaaaaaaaagggggggggggghhhhhhhhhhhh.
@AshaDii hebi iangalie tena ile yangu mpenzi.