JF Members in their real pictures... LOL!

JF Members in their real pictures... LOL!

Picha yako hii hapa Ta Muganyizi... Upo busy hadi baaas! Lol

PWO3216.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ume tisha sister,kwani uko pande z
G-MWALONGO , nashukuru kwa acknowledgement zako... Naona wewe ni mupya kabisa hapa Jf... Karibu sana. Hapa kuna kila kitu... Mapenzi, Siasa, Makuli, Michezo, Dini, na Wakenya... Yaani ushindwe wewe tu! Mie nipo sana pande hizi.. Mahusiano, mapenzi, urafiki

I hope you enjoy... Pamoja Saana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, hii habari ilinipita kushoto na sikubahatisha kuiona hadi leo hii.

Nilikuwa sijui Katavi na Erickb52 ni MTU na Baba yake, loohhhh.

Huyu Mzee kulia ndiyo anajiita Mzee wa "Sweet Sweetback's Baadasssss" sikujua kumbe ni Mtanzania. Heshima sana kwa mtu na mwanaye ingawa siku nyingi simuoni mwanae mitaani zaidi ya hapa JF.
Katavi akiwa na Erickb52 (nilishangaa sana kugundua kuwa Erick ni mzee hivo)

vanpeebles4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, hii habari ilinipita kushoto na sikubahatisha kuiona hadi leo hii.

Nilikuwa sijui Katavi na Erickb52 ni MTU na Baba yake, loohhhh.

Huyu Mzee kulia ndiyo anajiita Mzee wa "Sweet Sweetback's Baadasssss" sikujua kumbe ni Mtanzania. Heshima sana kwa mtu na mwanaye ingawa siku nyingi simuoni mwanae mitaani zaidi ya hapa JF.
Sikonge nashukuru kwa kunifumbua macho... Niliipensa sana hii pic siku nimeona. Ila sikujua kuwa ni akina nani nje ya Jf, mie nilikua tu ni Katavi na Erickb baasi ikatosha... Lol.

Naamini kuwa u mzima wa afya. Hatujagongana siku nyingi mitaa ya Jf. Pamoja saana.
 
Last edited by a moderator:
Waleykum Salaam... Inshaallah kwa dua hio ya kusoma kabla ya kulala, nami naisoma sasa na hatimae kupumzika na kukuaga kwa kuacha picha yako pia.. Wabilah Tawfiq...

African-American-Muslim-Men-300x298.jpg

Wee mdada nakukubali na kukupenda sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom