JF Members in their real pictures... LOL!

HUYO JUU DAH! KATOKEZEAAA kajipiga ushungi
Hi Dears...

Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol,

Anaetufungulia ni Mwali...

african-woman-black-and-white.jpg


Update:
AshaDii: In my own courtesy (Roulette) alter utajibeba nimeweka picha yako na wewe!

post.png
 
Hi Dears...

Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol,

Anaetufungulia ni Mwali...
Mi nilidhani utaanza na picha yako mwenyewe AshaDii
 
Last edited by a moderator:
nimeupenda huu uzi......hizi picha zimeendana na jinsi ninavyodhani baadhi ya members walivyo....ha ha ha.....nzuri sana......

For sure, AshaDii is more than talented na amewafanyia haki members husika maana ukisoma machapisho yao na hizo picha kweli anawajua uzuri. my dada you are more than talented!
 
Dah! ndio mana kanuna? nimechanganya na ile ambayo haipo konfidesho... lol.. Hizo nyonyo ziache hivo hivo, akikusikia klorokwini mnaweza kosana kabisa... hahaha.. As usual nimefurahi kukuona shemeji yangu, hopefully karibu utatutembelea na familia yako... lol

Hawa watu umewaona wapi?
Mwanajamione, Nyamayao, Maty, DaMie, Smiles, carmel, daughter na Mayasa... kama una habari nae yeyote hapo tafadhali waambie ninawatafuta naoza binti nahitaji msaada wao... lol Hapo tayari nisha onana nao kama Remmy, Yummy, charminglady, feis buku na Gaga (aliegeukie kule kavaa koti lekundu)

african_americans_breast_cancer.jpg




Nimefurahi umefurahi kaka DC... Na hilo la plus one wangu inabidi nitafute suluhisho... lol
Mzee wangu mbona unanitafutia case? Tena kaka Paw ana hasira za karibu kweli kweli! lol, yeye mwanaume bana hebu kacheki ile picha vizuri.... hahaha! Nimekuwekea na hii hapa alipiga na kakangu mwingine Steve Dii

big-brother-best.jpg




Hapana Fidel nilikuwa kwa bed tu... mzima wewe? Unamfahamu zumbemkuu na Daudi mchambuzi? (hapo wakiwa na Consigliere ambae ni mzungu)

img%5Cafrica%20-%20bethany%20house%5CDSC02049.jpg




I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol

south-sudan.jpg
Hahahahah yaani nimetupia T-shirt nyekundu..AshaDii umeitoa wapi hii tulipida 80's
 
Back
Top Bottom