JF Members in their real pictures... LOL!

From the right mstari wa nyuma Vin Diesel, Michelle, Eiyer , kingasti, Walio kaa toka kushoto ni Paw, MAMMAMIA huyo wa miwani ni Mentor na Dada alokaa hapo mbele ni sweetlady.

B_W.jpg

Sister....hii picha ya zamani siku hizi nimerefuka na mke wangu sweetlady amezidi kuwa mrembo zaidi ya hapo...lol
 
Last edited by a moderator:
nimeupenda huu uzi......hizi picha zimeendana na jinsi ninavyodhani baadhi ya members walivyo....ha ha ha.....nzuri sana......

Hee!! unataka kuniambia hizi picha si za kweli, binafsi nilikuwa nimeanza kuangalia namna ya kumfesi Mwali kwa mazungumzo ya awali na kumuomba asiwasikilize wachochezi wanaotaka kuvunja chama cha Infedility
 
Last edited by a moderator:
mashaallah.....mimi yangu huipati ng'o!!!
Hi Dears...

Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol,

Anaetufungulia ni Mwali...

african-woman-black-and-white.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3 hapo kiukweli umejibu mapigo! aiseee! Mie nikitaka kama hii nifanyeje?

article-2038604-0DF33CA000000578-150_634x376.jpg



Najua ulipoipata hii picha, umeikwapua kule kwenye blog yangu........LOL
Hapo, nilikuwa nashangaa Rejao kanipunja mahari ya mwanangu Cantalisia

hahaha! Haswaaa... hata kama ningeikosa huko na Gaijin ana copy ya hio picha ila alimpa bht amhifadhie... Hebu ona wadogo zako wanavyojitangaza kuwa wapo hata face book.

Toka kulia platozoom, Judgement, Young Master na C6 ... Kaaaz kweli kweli lol

AfricanMenHollywood.jpg



Vijana wakiwa wanafurahia mafanikio baada ya kumpata mfadhili waliokuwa wakimsaka siku nyingi... Huyo mwanamama mzungu ni mke wa Bill Gates. Hao walios simama Manyanza, Baba V, Tuko alafu hao walioketi wa miwani Manumbu na huyo mwingine aliechekelea sana ni yoyo ... Hongereni sana jamani... lol


5950205-my_African_men-2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom