JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Mkuu issue ya NN ilishafungwa. Unaruhusiwa kuwa JF-MoY kwa Mwaka moja tu. Akiwa mtu huyo huyo kila Mwaka, tunpoteza mvuto na ku-encurage wengine. Naomba tukubaliane na mawazo haya kwa nia nzuri tu. NN amelielewa hilo na bado ni JF-MoY Mstaafu.
Kiukweli sijakubaliana na utaratibu wenu huo.....Kama suala ni kuencorage wengine nadhani utaratibu mzuri ni kuacha watu wawe huru kuchagua nani ni JF MoY.....Mtuache sisi tuchague,kusema kwamba NN alishinda mwaka jana so asishinde mwaka huu itakuwa si haki hata kidogo....Utakuwa ni ubabe/udikteta uliopitiliza.....Ninyi mmetutaka tupendekeze majina so tupeni uhuru wa kupendekeza na si kutuambia fulani asipendekezwe......Leo Messi aalishinda ucheza bora wa Dunia wa FIFA mwaka 2010 na bado akashinda tena mwaka 2011......Sidhani kama ingekuwa ni busara kwa FIFA kuwaambia watu eti wasimchague Messi ili kuencourage wengine wapate kushinda nafasi hiyo.....Hii ni sababu/dhana dhaifu kabisa.....Haina mashiko mkuu.....

Kwa staili hii harta NEC-Tz wana afadhali.......Sababu mnazozitoa kumuondoa ni DHAIFU sana mkuu wangu.....Mi nadhani kama Nyani Ngabu angepata fursa ya kushiriki mwaka huu baada ya kupendekezwa na wadau na kushinda hapo ndipo wadau wengine wangekuwa encouraged na si vinginevyo.....

Pia haujanijibu kushusu hiyo Tume yenu inaundwa na nani?

Mbona Nyani Ngabu amepata kura nyingi(category zote mbili amepata kura 5) lakini mmemtosa?....

Halafu.....Si vibaya ukatutajia wajumbe wengine wa hiyo Tume(JEC) ukiacha wewe na TANMO.......Kuweni wawazi basi
 
Kiukweli sijakubaliana na utaratibu wenu huo.....Kama suala ni kuencorage wengine nadhani utaratibu mzuri ni kuacha watu wawe huru kuchagua nani ni JF MoY.....Mtuache sisi tuchague,kusema kwamba NN alishinda mwaka jana so asishinde mwaka huu itakuwa si haki hata kidogo....Utakuwa ni ubabe/udikteta uliopitiliza.....Ninyi mmetutaka tupendekeze majina so tupeni uhuru wa kupendekeza na si kutuambia fulani asipendekezwe......Leo Messi aalishinda ucheza bora wa Dunia wa FIFA mwaka 2010 na bado akashinda tena mwaka 2011......Sidhani kama ingekuwa ni busara kwa FIFA kuwaambia watu eti wasimchague Messi ili kuencourage wengine wapate kushinda nafasi hiyo.....Hii ni sababu/dhana dhaifu kabisa.....Haina mashiko mkuu.....

Kwa staili hii harta NEC-Tz wana afadhali.......Sababu mnazozitoa kumuondoa ni DHAIFU sana mkuu wangu.....Mi nadhani kama Nyani Ngabu angepata fursa ya kushiriki mwaka huu baada ya kupendekezwa na wadau na kushinda hapo ndipo wadau wengine wangekuwa encouraged na si vinginevyo.....

Pia haujanijibu kushusu hiyo Tume yenu inaundwa na nani?

Easy Mkuu, utajiua. You take things too seriously. Nothing Official here but it is fair. You can come JEC too if u want but it is immaterial kujua who is who. Hii ni thread sawa na thread nyingine yoyote. U dont know how much energy is used into this. You can try something similar ujionee.

Ukweli ni kuwa sina copyright ya shindano hili na yeyote mwingine anaweza kuanzisha. Mawazo yaliyopo ni kuwa haileti maana mtu huyo huyo moja kila mwaka awe yeye tu simply kwa kuwa anaweza kutumia multiple IDS na logic inakwambia hivyo na mwenyewe anakubali. Unatetea nini Mkuu?

Bado kuna mashinado ya Majukwaa mengine which I can encourage you to start. We will support you. Hili wacha lifanyike kama ilivyozoeleka.

By the way, I am doing it in a very open way with no hidden agenda.

Hebu kwa vitu vidogo kama hivi tujaribu kuelewa badala ya kuvichukulia as if kuna makosa makubwa saaana yamefanyika kiasi cha kuvunja amani. U can start na Jukwaa la Michezo, Entertainment etc.
 
I see...........
 
ha ha ha
naona ulipata A ya kwadratic ekwesheni

umejificha wapi? Au canta hakupikii mchicha umeacha kuona?
Canta ananiandalia mahanjumati ya kufa mtu! Hapa tayar nimeshakuwa kibonge...mijicho sasa hivi imeongezewa uwezo over X-rays!
 
ukipiya mtaani kwetu nakupopoa na mawe
kwanza canta hajui kitu

ngoja nirudi kwa vibabu vyangu 🙁

Canta ananiandalia mahanjumati ya kufa mtu! Hapa tayar nimeshakuwa kibonge...mijicho sasa hivi imeongezewa uwezo over X-rays!
 
Mkuu issue ya NN ilishafungwa. Unaruhusiwa kuwa JF-MoY kwa Mwaka moja tu. Akiwa mtu huyo huyo kila Mwaka, tunpoteza mvuto na ku-encurage wengine. Naomba tukubaliane na mawazo haya kwa nia nzuri tu. NN amelielewa hilo na bado ni JF-MoY Mstaafu.

mngeweka terms ambazo anaweza hicho cheo akashika jamani.
 
nyinyi sio hasa superman. inawezekanaje utupe wiki moja ya kupiga kura? hii ngoma ilitakiwa ichezwe miezi miwili. sio wote wanaoingia jf kila siku. kwanini uilete kipindi hiki cha kameni watu wapo busy, kilimo watu wapo mashambani na unatuchagulia watu? kwanini? huu ni uonevu ndo maana watu hawapigi kura. Ongeza mda kama mwezi mmoja na nusu halafu uwaambie mamod hii thread waigandishe na kila mtu aione. halafu kongosho mbona kura yangu imehalibika? wananiambia sina access why?
 
Tena mimi naomba JF Premium Member
wawe na kura ya turufu.

Naanzia hapa, wapi mkuu MTAMBUZI na kati ya MMU?
 
Natoa SHUKRANI kwa wale wooote walo ni Nominate.. Asanteni Saana.
Na kwa wale pia waloweza nominate members woote ambao tuko nao na
tusio nao katika Mchakato hadi kuwezesha zoezi zima kufika mahala lilipo.
Naahidi kutoa Shukrani zangu kwa kila mmoja nikishasoma kila post ya hizi pages lukuki.
Superman.... Hongera saana kwa Kazi ulofanya na waendelea kufanya. Thanks....

Pamoja Saaana.

AshaDii.
 
Nilikupigia kura wakati wa mchakato...naongeza tena,weye mtoto weye..acha tu
 
EMT

Overall JF Woman of The Year 2011
FaizaFox

King of MMU 2011
The Boss

Queen of MMU 2011
Ashadii
 
Nilikupigia kura wakati wa mchakato...naongeza tena,weye mtoto weye..acha tu

Platozoom ina maana bado hujanipigia kura? lol..... Haya hebu shuka chini huko ukanipigie..... hahahaha.... Mzima wewe?
 
Nimekupigia kura tayari mtoto mzuri..mie mzima...nimemiss post yako.Nilikuwa natangatanga kwenye jukwaa la siasa!!
 
Back
Top Bottom