JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Mzima kabisa mkwe. . .ila jiandae kumuuguza mchumbako maana naona kuna kaugonjwa kanamnyemelea. Vipi wewe?

Mie mzima hebu nilete mwenyewe labda anaumwa kaugonjwa kakunimiss!! Mwezi march huu ujue
 
Mimi mmojawapo:A S-confused1::A S 39:

Hahahah......we fanya kiMtikila tu, lawyer kloro yupo!! Watu kama Gaga na nyumbakubwa wako wapi jamani??.....michango yao ilikuwa vere yuziful, huu uzi umenifanya niwakumbuke!!
 
Mimi sio mbishi, kwa hiyo naomba tundelee tu mkuu.
Ningekua mwenyekiti wa tume, ninge waomba watano hao kuconfirm their votes (hasa walio vote mara mbili au kunukuu bila kutaja wazi). But mimi ni mpiga kura tu, sio mwenyekiti, so nakubali uamuzi wako wa Aspirin and BAK. tuendelee tu mkuu.

Mi sijaridhika kabisa na huu mchakato mzima....basi tu!!!
 
paka sasa kura zikoje?? naanza kukampenia rejao
 
ha ha ha
naona ulipata A ya kwadratic ekwesheni

umejificha wapi? Au canta hakupikii mchicha umeacha kuona?

Oooh kumbe...
rejao ~ kongosho
MTM ~ kongosho
.'. rejao ~ MTM
 
Uamuzi wa JEC juu ya Rufaa ya EMT

Tume ya Uchaguzi ya JF - JEC, imepokea na kupitia malalamiko ya mgombea EMT yaliyowakilishwa kupitia msimamizi wake Mwali. Baada ya Kikao cha Masaa mengi, JEC imeamua yafuatayo:

1. Mwali kama Mwali hukumpigia kura EMT kama alivyodai: Kura yake ilikuwa hii:

quote_icon.png
By Mwali

Basi mimi namnominate:
Man of the year: Uncle wangu Kaizer,
Woman of the year: Anti wangu AshaDii
Mi mwenyewe president of the fan club!

Hata hivyo mbali na Kaizer Mwali alikuja tena kumpigia EMT. So kura yake ya pili itawekwa kwa King of MMU ili isiharibike. Kura ya Kwanza alishapiga.

2. Katika kura zilizopigwa kwa EMT si zote zimemweka katika category gani inayoeleweka. Nyingi zimekaa kimya, tume ilitumia hekima tu kumnusuru na kumweka ambapo angekuwa vema bila kugawa kura zake. Kwa rufaa hii sasa tume itamweka EMT katika kundi la JF Man of the Year 2011.

3. Kura zingine zilizoelezewa zilikuwa katika namna ya CHIT-CHAT na kisheria hazihesabiki. Ilitakiwa kutumia karatasi ya kura kwa kutaja mapendekezo au nomination na kundi au category gani anakuwa nominated. Kwa hivyo basi Tume imeona kura hii iliharibika na ilikuwa ni CHIT-CHAT na haimtaji mtu. Na wala si kazi ya tume kutafuta ni nani aliyetajwa katika hili:

quote_icon.png
By Taz

Same here. Ndio kura yangu hii.

4. Hapa unasema:

By Mwali
Mi ningempigia kura EMT ila sio regular MMU.(Kwa sasa kura hii itahesabika lakini katika Category ya Man of The Year 2011.

5. Hii pia si kura:

By Husninyo

siamini macho yetu yameona pamoja. Lol.

Hitimisho:

Kwa uamuzi huu: JEC inamrudisha EMT katika King'ang'anyiro Katika Category ya JF Man of the Year 2011. Hii ina maana Category hii itakuwa na Wagombea Watatu.

Muda si Mrefu JEC itaruhusu POLLS Zianze na huku Kampeni Zikiendelea katika Threads Tofauti.
Superman-Logo.jpg

Superman.
Mwenyekiti - JEC
 
Baada ya Rufaa, matokeo sasa ni:

Bila Kujali nani kapata ngapi, mnyambulisho wa kura baada ya RUFAA ni kama ifuatavyo:

Overall JF Man of The Year 2011

  1. Kiranga
  2. BAK
  3. BAK
  4. BAK
  5. BAK
  6. EMT
  7. EMT
  8. EMT
  9. MBU
  10. Kaizer
  11. Nyaningabu
  12. Nyani Ngabu
  13. Nyani Ngabu
  14. NyaniNgabu
  15. Nyani Ngabu
  16. Maendeleo
  17. Aspirin
  18. Aspirin
  19. MATOLA
  20. THE BOSS
  21. Mchunguzi
  22. Mwanakijiji
  23. Boflo
  24. Ng'waninyami
  25. Mzizi Mkavu
  26. Nguruvi
  27. Invisible
  28. Sobhuza


Overall JF Woman of The Year 2011


  1. Smile
  2. Smile
  3. Lizzy
  4. Lizzy
  5. Ashadii
  6. Ashadii
  7. Ashadii
  8. AshaDii
  9. AshaDii
  10. AshaDii
  11. ASHADII
  12. AshaDii
  13. AshaDii
  14. Asha Diii
  15. FaizaFox
  16. Faiza Foxy
  17. FaizaFoxy
  18. Mwali
  19. ASHADII
  20. Jane000
  21. Malaria Sugu
  22. Malaria Sugu
  23. Sweetlady
  24. Sweetlady
  25. Eliza wa Tegeta



King of MMU 2011

  1. Mtambuzi
  2. EMT
  3. MTM
  4. Mbu
  5. Mbu
  6. Mbu
  7. Mbu
  8. MBU
  9. Nyani Ngabu
  10. Nyani Ngabu
  11. Nyani Ngabu
  12. Nyani Ngabu
  13. Nyani Ngabu
  14. MR.ROCKY
  15. THE BOSS
  16. The Boss
  17. THE BOSS
  18. The Boss
  19. The Boss
  20. The Boss
  21. The Finest
  22. Bwa'Nchuchu
  23. Asprin
  24. Dark City


Queen of MMU 2011

  1. Lizzy
  2. Lizzy
  3. LIZZY
  4. Lizzy
  5. Lizzy
  6. Lizzy
  7. Lizzy
  8. Lizzy
  9. Smile
  10. Mwanajamiione
  11. Mwanajamiione
  12. Michelle
  13. MICHELLE
  14. Mwali
  15. Nyumba Kubwa
  16. Tracy wa njiro
  17. FaizaFoxy
  18. Afrodenz
  19. Ashadii
  20. Ashadii
  21. Ashadii
  22. AshaDii
  23. AshaDii
  24. Ashadii
  25. Ashadii


JF She Male of The Year 2011

  1. Kongosho
  2. KONGOSHO
  3. KONGOSHO
  4. Kongosho
  5. Kongosho


Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC
 
Uamuzi wa Tume Juu ya Majina yatakayoingia Fainali na Kupigiwa Polls Baada ya RUFAA kwa maana kuwa Wameshinda Kura Za Maoni na Sasa tunawashindanisha kwa Polls ili kupata Mshindi wa kila Category ni:

Overall JF Man of The Year 2011
1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2
3. EMT - Kura 3


Overall JF Woman of The Year 2011
1. Ashadii – Kura 11
2. FaizaFox – Kura 3

King of MMU 2011
1. Mbu – Kura 5
2. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011
1. Lizzy – Kura 8
2. Ashadii – Kura 7


JF She Male of The Year 2011
1. Kongosho – Kura 5

NB: Kongosho kwa kuwa yuko peke yake, atapigiwa kura ya NDIYO au HAPANA.

Kwa kuwa hatujapokea rufaa nyingine. Sasa tutafanya upadate katika post Kuu. Na kisha kuelekea kwenye POLLS.

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC
​




​
 
sasa hili bandiko lina maana gani?

Wa kupigiwa kura wamebadilika?
Uzinduzi wapi na lini

i can't wait kampeni za majisafi
 
Mchakato umefikia wapi? Ndio kwanza naiona hii leo!
 
Uamuzi wa Tume Juu ya Majina yatakayoingia Fainali na Kupigiwa Polls Baada ya RUFAA kwa maana kuwa Wameshinda Kura Za Maoni na Sasa tunawashindanisha kwa Polls ili kupata Mshindi wa kila Category ni:

Overall JF Man of The Year 2011
1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2
3. EMT - Kura 3


Overall JF Woman of The Year 2011
1. Ashadii – Kura 11
2. FaizaFox – Kura 3

King of MMU 2011
1. Mbu – Kura 5
2. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011
1. Lizzy – Kura 8
2. Ashadii – Kura 7


JF She Male of The Year 2011
1. Kongosho – Kura 5

NB: Kongosho kwa kuwa yuko peke yake, atapigiwa kura ya NDIYO au HAPANA.

Kwa kuwa hatujapokea rufaa nyingine. Sasa tutafanya upadate katika post Kuu. Na kisha kuelekea kwenye POLLS.

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC
​



Mbona Nyani Ngabu amepata kura nyingi(category zote mbili amepata kura 5) lakini mmemtosa?....

Halafu.....Si vibaya ukatutajia wajumbe wengine wa hiyo Tume(JEC) ukiacha wewe na TANMO.......Kuweni wawazi basi
 
Main Post imeshakuwa update. Please read UPDATE 1:
 
Mbona Nyani Ngabu amepata kura nyingi(category zote mbili amepata kura 5) lakini mmemtosa?....

Halafu.....Si vibaya ukatutajia wajumbe wengine wa hiyo Tume(JEC) ukiacha wewe na TANMO.......Kuweni wawazi basi

Mkuu issue ya NN ilishafungwa. Unaruhusiwa kuwa JF-MoY kwa Mwaka moja tu. Akiwa mtu huyo huyo kila Mwaka, tunpoteza mvuto na ku-encurage wengine. Naomba tukubaliane na mawazo haya kwa nia nzuri tu. NN amelielewa hilo na bado ni JF-MoY Mstaafu.
 
sasa hili bandiko lina maana gani?

Wa kupigiwa kura wamebadilika?
Uzinduzi wapi na lini

i can't wait kampeni za majisafi

Kongosho, fuatilia Thread Mpya zitakazoanzishwa muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom