JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Nimekupigia debe vya kutosha hakikisha mkwanja wa ushindi tunagawana, na ile rushwa yetu nyengine unanipatia

Hahahahha. . . .mkwanja nikugaie wakati nanunulia mkaa wakuchemshia yale maharage uliyoniletea??!Au unataka niendelee kukopa??!
 
If not, how can you get the Man of the year?
Is it fair kwa yule ambaye hajavisit jukwaa hili na kukuta hii thread? sina tatizo na nomination ya MMU, but/lakini, sio the Man of the Year 2011, huyu bila kushirikiana na jukwaa la siasa na jukwaa la habari na hoja mchanganyiko then shindano hili ilnakosa uhalali kwa hiyo Category ya Man of the Year 2011. Think loud!
Otherwise nitakuelewa kama utabadili jina na kuliita shindano la The MMU The man of the year 2011.

Huelewi bado Mkuu. Hii ni nomination tu. Voting bado. Kutakuwa na Polls.
 
Wewe ndio umegoma kuelewa, ni nani aliesema hizi ni polls? nasema hivi sina tatizo na category zingine ila category ya JF The Man of 2011 zoezi la kuwapata hao nominated members lina dosari za wazi kabisa. hukuwatendea haki wale Wanaume ambao wao hawana time na jukwaa la MMU, tukubali kukosoana kama wewe ndio mwendeshaji na unakosolewa kwa dosari za wazi hivi halafu unakuwa mbishi lengo lako ni nini?
For my opinion hiyo category ya JF The Man of 2011 ni lazima hiyo thread ikae majukwaa yote kama sticky then ndio tutapata nomination ya kweli na sio kuwaachia marafiki wa MMU wachaguane i say big NO.
 
Hahahahha. . . .mkwanja nikugaie wakati nanunulia mkaa wakuchemshia yale maharage uliyoniletea??!Au unataka niendelee kukopa??!
Halaf wakati watu wanapinga matokeo mimi napinga hiki cheo cha queen of mmu, yaani ukishinda haukuwi queen wangu tena unakuwa queen wa mmu nzima. Hii tume bom sana
 
Hahahaha. . .basi wabadili jina liwe Kloro's Malkia!!Lolz
Anashangaa unamzushia faifu star klorokwin kwamba anakupatia dayati la maharage
Kheeee. . .Mwambie akasome thread inayohusu maharage pale JF Doctor kabla hajashangaa!!
 
kila kategori nina mtu
mie sitajipigia saana.

Ila kuna mmoja, ni family matters kabisa.
Naenda kuchapisha na t-shirt zake.

Heheheh. . . We unampigia nani kampeni?Maana kujipigia huhitaji vile huna mpinzani.
 
kila kategori nina mtu
mie sitajipigia saana.

Ila kuna mmoja, ni family matters kabisa.
Naenda kuchapisha na t-shirt zake.

We uko mwenyewe kampeni ya nini bana? Kura utapata na taji juu!!

Heheheheh. . .Anajua lakini? Maana kwa style hiyo lazima nae aandae kreti mbili tatu za soda na biYa!!
 
Hahahaha. . .basi wabadili jina liwe Kloro's Malkia!!Lolz

Kheeee. . .Mwambie akasome thread inayohusu maharage pale JF Doctor kabla hajashangaa!!

Labda hii tume haielewi kama wewe uko copyrighted na Lawyer mashuhuri kusini mwa jangwa la sahara. Huyu mkuu wa tume asipoangalia kwa makini anaweza akajikuta anaishia kizuizini kabla kutangaza mshindi.
 
tena umenipa idea, ngoja nimwambie aandae hata ya mbege tu.

We uko mwenyewe kampeni ya nini bana? Kura utapata na taji juu!!

Heheheheh. . .Anajua lakini? Maana kwa style hiyo lazima nae aandae kreti mbili tatu za soda na biYa!!
 
Wewe ndio umegoma kuelewa, ni nani aliesema hizi ni polls? nasema hivi sina tatizo na category zingine ila category ya JF The Man of 2011 zoezi la kuwapata hao nominated members lina dosari za wazi kabisa. hukuwatendea haki wale Wanaume ambao wao hawana time na jukwaa la MMU, tukubali kukosoana kama wewe ndio mwendeshaji na unakosolewa kwa dosari za wazi hivi halafu unakuwa mbishi lengo lako ni nini?
For my opinion hiyo category ya JF The Man of 2011 ni lazima hiyo thread ikae majukwaa yote kama sticky then ndio tutapata nomination ya kweli na sio kuwaachia marafiki wa MMU wachaguane i say big NO.

Maoni kama hayo na mengine mengi yanayofanana na hayo yameshatolewa. Hebu niambie Majukwaa yote unaiweka wapi?

Angalia tojka 2009 shindano lilipoanza Mods wanavyohangaika kulihamisha.

Take it easy: Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Kama unaona rahisi you can try. I dont have a copy right!
 
Ok if that is a case kwa nini thread hii ukuianzisha Jukwaa la siasa? kama huna uwezo wa kuendesha kitu kikakidhi vigenzo then why u should force? its realy shame kwa mtandao wenye zaidi ya memba 64,600 mtu awe nominated kwa kura 2!! u must be joking.

Ushauri: ningependekeza liitwe shindano la The JF MMU The man of the year 2011. maana nominated members wa category zote ni MMU based members na ndio maana hata thread umeipost huku.
Binafsi najitahidi sana kupita majukwaa tofati ndio maana nimegunduwa kiurahisi sana udhaifu wa shindano hili na kama litahusisha kweli majukwaa yote ndio utawajuwa wale realy vichwa vinavyomwaga material ya ukweli hapa.
 
Labda hii tume haielewi kama wewe uko copyrighted na Lawyer mashuhuri kusini mwa jangwa la sahara. Huyu mkuu wa tume asipoangalia kwa makini anaweza akajikuta anaishia kizuizini kabla kutangaza mshindi.
Inabidi sasa uwape 'Taarifa kabla ya Habari'.
 
Back
Top Bottom