JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Mkuu Superman,

Nimekusoma na nimekuelewa. I should have been more active this morning kwa kujibu ombi lako, my bad.
Naona imesha cost team yangu na candidate wetu, na at this point electoral process imeendelea sana, itakua unfair for other candidates kama tutaamua kusimamisha process na kuanza kukagua tena who should go in the poll and who shouldn't.
Lakini because my claim was a valid one, kama unataka kurudi kusoma hizo post, just bonyeza kale ka alama ka pembe nne la kijani kalioko next to jina la watu walinukuliwa on this post na utapeleka immediately to the concerned post.
(ambazo ni: The Boss #73, Belinda Jacob #79, Husninyo #83, Mwali #145 and Taz #659)
My position at this point: Tuendelee tu na zoezi, hakuna haja ya kurudi nyuma tena, tuwapigie kura watu walio baki.
Kura yangu ya Woman of the year (overall) inaenda kwa AshaDii (For her kindness na busara ya mada zake)
Kura yangu ya Queen of the MMU inaenda kwa Lizzy (for her interaction with member na ability yake ya ku-lift my mood)
Kongosho as Shemale of the year by referendum, my vote is a loud YES.

Mkuu, nimekusoma sana na bado asubuhi hii tena Tume iimepitia post zote na kujiridhisha kuwa matokeo ni haki Bin Haki. Kitu ambacho ni utata ni kuwa Category aliyowekwa ya MMU King au ya Man of the year haikutajwa popote.

Kwa sababu hii peke yake linaweza kuletwa ombi kuiomba Tume imwamishe category. lakini katika hili tutaangalia zile kura tu ambazo ziko kimya. Zilizosema MMU zitabaki huko.

Bado tunataka kutenda haki kabla hatujaendelea.
 
Mimi sio mbishi, kwa hiyo naomba tundelee tu mkuu.
Ningekua mwenyekiti wa tume, ninge waomba watano hao kuconfirm their votes (hasa walio vote mara mbili au kunukuu bila kutaja wazi). But mimi ni mpiga kura tu, sio mwenyekiti, so nakubali uamuzi wako wa Aspirin and BAK. tuendelee tu mkuu.
 
Mkuu, hakuna anyesema Mbishi, ila unatumia haki yako na hii ni rufaa. Ukiwaambia waliopiga wathibitishe haitakuwa uchaguzi tena. Subiri Maaumuzi ya tume kuhusu suala hili kabla hatujaendelea.
 
Hii thread imeshapoteza muelekeo, mods pls peleka hii kitu Chitchat, hakuna member atakaeingia leo aanze kufuatilia page1 mpaka page 43, no one.
 
weee stoooop!

Mie najisomea naandika na notisi

Hii thread imeshapoteza muelekeo, mods pls peleka hii kitu Chitchat, hakuna member atakaeingia leo aanze kufuatilia page1 mpaka page 43, no one.
 
Hii thread imeshapoteza muelekeo, mods pls peleka hii kitu Chitchat, hakuna member atakaeingia leo aanze kufuatilia page1 mpaka page 43, no one.

Mkuu nomination imemalizika. Tunasubiri POLLS Monday & Tuesday. Matokeo ni kama hivi:

Uamuzi wa Tume Juu ya Majina yatakayoingia Fainali na Kupigiwa Polls kwa maana kuwa Wameshinda Kura Za Maoni na Sasa tunawashindanisha kwa Polls ili kupata Mshindi wa kila Category ni:

Overall JF Man of The Year 2011
1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2

Overall JF Woman of The Year 2011
1. Ashadii – Kura 11
2. FaizaFox – Kura 3

King of MMU 2011
1. Mbu – Kura 5
2. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011
1. Lizzy – Kura 8
2. Ashadii – Kura 7

JF She Male of The Year 2011
1. Kongosho – Kura 5

NB: Kongosho kwa kuwa yuko peke yake, atapigiwa kura ya NDIYO au HAPANA.

Naomba sasa niwakaribishe nyote kusherehekea ushindi wao na kuwapa pongezi wakati tunaendelea na maandalizi ya mchakato wa upigaji kura.
​
​
​
 
Hii thread imeshapoteza muelekeo, mods pls peleka hii kitu Chitchat, hakuna member atakaeingia leo aanze kufuatilia page1 mpaka page 43, no one.

mi pia imenishinda. Kama hii kitu ipo serious wafanye mpango wa kufuta posts zote zisizohusiana na thread ili kuturahisishia.
 
Wakuu, msihofu . . .

Thread kwa kuwa itakuwa na Polls zitakuwa 3 Mpya. Na hatupigi kura kwa kuandika, bali kuchagua kabisa. Mwishon threads zote zitaunganishwa. Kama miaka ya nyuma.
 
kampeni zitazinduliwa lini na wapi?
Zisije zikaenda jukwaa la siasa
mie kule siendagi
 
Mkuu nomination imemalizika. Tunasubiri POLLS Monday & Tuesday. Matokeo ni kama hivi:
Mimi nilidhani ni wanasiasa tu ndio wanapanga matokeo kumbe mpaka kwenye social network mambo ni yale yale!!
Hapo ukiangalia kwa makini ukiacha hiyo category ya kwanza ya JF Man of the year 2011, category zote zinazofuatia washindi wanajulikana.
 
Slow down Mkuu, pitia post na kura zote uone wapi matokeo yamepangwa.
 
Ni kwa nini mtu awe nominated kwa kura 2 kwenye mtandao ambao una member 65,594?

Pitia thread yote kabla ya kuuliza. Do u think hao members wote wanapitia kila thread mkuu?
 
Pitia thread yote kabla ya kuuliza. Do u think hao members wote wanapitia kila thread mkuu?
If not, how can you get the Man of the year?
Is it fair kwa yule ambaye hajavisit jukwaa hili na kukuta hii thread? sina tatizo na nomination ya MMU, but/lakini, sio the Man of the Year 2011, huyu bila kushirikiana na jukwaa la siasa na jukwaa la habari na hoja mchanganyiko then shindano hili ilnakosa uhalali kwa hiyo Category ya Man of the Year 2011. Think loud!
Otherwise nitakuelewa kama utabadili jina na kuliita shindano la The MMU The man of the year 2011.
 
Back
Top Bottom