JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Punguza jazba!

Mkuu ni kazi nzito huyu na niliona NN ananikosea heshima.

Can you imagine ananiambia mwenyekiti amekula pesa zake wakati mimi nimempatia Maxence?

Sipendi kuzungumza ni kiasi gani nilimsaidia kupata viza ya kwenda huko majuu na kuchangia harusi yake kwa kaisi kikubwa afu leo ananiambia nimemzulumu. Ama kweli tena wema uende zako.
 
Msimamo wangu kwenye viti maalum upo wazi, sijawahi kukubali na sitakaa nikubali kamwe, so don't include me in that group

And what are the different roles for male and female in JF, pray tell
Thinking,we think differently and that's because we perceive the world differently.Kubali tu mpenzi wangu Gaijin mwanamke NA mwanaume ni viumbe wawili tofauti kabisa and yet utu wetu unatukutanisha.Who is superior/inferior that is a different question all together.Hat a trend ya posts jf iko clear NA ndo man a mwanaume akiibuka na ID/avatar ya kike watu huwa wanamuumbua and vice versa (of course unless you are extraordinary clever kama kongosho),but that is an exception.
 
Naona mambo yanakwenda kwenda kama vile gari limezama kwenye matope....hope tutafika!!

Nadhani tuunde katiba mpya kwanza na tume huru ya uchaguzi!!

Anyway.....MMU is my home na washindi wetu tutawapata bila uchakachuaji (The Boss/Mbu na ADii)..

Huko kwingine hata mkichakachua poa tu.....after all pamejaa utata kila wakati!!

Babu DC!!!

Babu DC kwani na wewe huiamini tume? Basi mimi ulipokuja na wengine mwaka jana kuniomnba niendelee kukalia kigoda nilijua una imani nami. lahaula!
 
Nzuri sana. Bee kanambia nije niteteee wanawake wote wanaopelekewa magunia ya mkaa :lol:

Nambie
Hahaha, hivi bado kuna mwanamume anapelekea mwanamke gunia la mkaa mpaka sasa labda klorokwini peke ake?...lol afadhali umekuja kutetea!

Sina la kukwambia zaidi sana nafurahi vile umbea wa bht umekuleta angalau nimekuona kunako keyboard!
 
Mkuu ni kazi nzito huyu na niliona NN ananikosea heshima.

Can you imagine ananiambia mwenyekiti amekula pesa zake wakati mimi nimempatia Maxence?

Sipendi kuzungumza ni kiasi gani nilimsaidia kupata viza ya kwenda huko majuu na kuchangia harusi yake kwa kaisi kikubwa afu leo ananiambia nimemzulumu. Ama kweli tena wema uende zako.
Naomba niwe mbea,hivi seriously mnafahamiana?
 
Naomba kuuliza hili shindano linawahusisha pia Moderators?

Moderators litakuja wakati ukifika:

Litahusishaa; Moderator aliyetoa BAN nyingi
Moderator al maarufu kwa kumuvizisha sreads
Moderator Mkali
nk.

Kwa sasa wanahusika kama Members wengine.
 
Watuuu!
Jamani hakuna maslahi huko!...du!
Ni kwamba Superman kajitolea, tena sanasana anaishia kukashifiwa kwamba kala buku-jero za mtu!...huh!

Umeona Mkuu eeh

Lakini wajue nikishastaafu hawatapata Mwenyekigoda mwingine kama mimi.
 
hehehehe fellow tablet bana, sasa unakopi na kupaste masredi mbele ya tume ya uchaguzi? Hebu weka na utabiri spurs na manu wa jumapili?
Hahahaha......

Sala zangu zimejibiwa kuwa Spurs atamla Manure

Sasa mbona hujanipigia kura? tumia ile ID yako ya nane ukitumia zile nyingine watashtukia mkakati wetu tulioufanyia famasi
 
acha kutudanganya kama yule mama Speaker mwingine yule, eti wanataka kujiuzulu wakati huko arumeru wanakesha, sasa wanakeshea 'hamna maslahi'?


Mkuu, unaonaje uingie kwenye tume, ikiwezekana mimi nitakupisha kiti?

Kusema ni rahisi kulijko kutenda.

Ni kweli hakuna Maslahi zaidi ya kashfa na kejeli.

lakini ndo Demokrasia. Wakati mwingine namkumbuka sana rafiki yang Nyerere angekuwepo walau angenipa moyo kama JP.
 
Hahaha, hivi bado kuna mwanamume anapelekea mwanamke gunia la mkaa mpaka sasa labda klorokwini peke ake?...lol afadhali umekuja kutetea!
Hapa umenizalilisha, Waifu anatumia jiko la remote. Ukibinya button ya half cast rice, jiko linapika pilau. Kulaleki, wakubwa tunafaidi
 
halafu mate naona superman kahamisha ushindi wangu wa 2010 kukupa wewe, yani hata buko 50 unapiga roba ya mbao??? tutafika mengwe kweli??
Hehehehe.... kuna hatari ya kuishia Mamsera.....

Lakini si zinatosha kumnunulia Naki japo soda mbili na chipsi mayai pale kwa Nata (RIP)
 
Thanks AfroDenzi. I appreciate, you aren’t half bad yourself :]

I don’t want to rain on anybody’s parade but I find it really condescending that one man can come out of nowhere and start choosing Woman Of The Year in a forum where the one and only requirement for participation is mental stability [and the jury is still out for some of the people in here]

Is it because men and women don’t have the same mental capability that’s why we need to have two different categories? For all we know JEC considers the Woman of the Year as the biggest small fish in the pond which might not even be as big as the smallest big fish!

So yes I don’t believe in these things, and I find them insulting to my intelligence to say the least and I expect other women to find this offensive too. I will rather thrive to be in the top 10 of all 65,502 members list than number 1 in the woman only list.

Hakika huu ni msimamo wa Gaijin toka 2010 na tunaomfahamu hatushangai.

Hata alipopigiwa kula 2010 na kuchaguliwa huku akiwa amefungana na Regia aliamua kujitoa na JEC ikampa ushindi Regia.

Unaweza ukareview sababu hizi hizi alizozitoa 2010 lakini tume ikatupilia mbali maoni yake kwa kuwa JF si taasisi ya kisongombingo. Watu wanafurahi hapa na kuishi kama ndugu. Afterall ahtujui who is She an who is he. Yote haya ni ya kinadharia.

Kama haya yangetokea in reality anayosema yanasimama. I bet Regia alikuwa ni Mwanaharakati halisi wa Jinsia Ndani na Nje ya JF lakini bado alishiriki shindano kwa moyo Mkunjufu.

All in all Gaijin ni moja kati ya Jina kubwa sana hapa JF na wote tunapaswa kuheshimu maoni yake huru.
 
Hapa umenizalilisha, Waifu anatumia jiko la remote. Ukibinya button ya half cast rice, jiko linapika pilau. Kulaleki, wakubwa tunafaidi
Hahahaha! Half cast rice???...lol. Nimecheka mpaka mvua imekatika...
 
Inaonekana huu msredi haujaupitia wote, hebu angalia nilivokulembea maujiko (ushahidi post no 262). Sasa hapo dili inabidi ukipata hako ka hela tunaanzisha mradi wa kupeleka dagaa botswana.
heheeh halaf huo utabiri umetulia kweli aisee.
Hapa kwenye wadada tunataja tunaowapenda au wanaochangia vizuri? Fafanua bana wengine tunataka tutumie hili vote kupatia mchumba.

King wa MMU ni Mbu hili halina ubishi na JF man of ze year ni fellow tablet Aspirin (fellow tablet ukipata kidau tugawane bana, acha nianze kukupigia debe)

Hahahaha......

Sala zangu zimejibiwa kuwa Spurs atamla Manure

Sasa mbona hujanipigia kura? tumia ile ID yako ya nane ukitumia zile nyingine watashtukia mkakati wetu tulioufanyia famasi
 
I cant figure out whether to call you anti-social or anti-anything!
I dont remember when of last did you join the jf public to support anything here, apart from Regia tragedy!
I bet u have more than 1 id, of which, this one is special for critique to critical criticism.
You are entitled to that anyway!


Mkuu, sisi sote ni ndugu na kila moja ana maoni yake. Ni vema tuuheshimu uhuru wake.

japokuwa watu wamempenda na kum nominate, i hope hawatajisikia vibaya na kukata tamaa kwa msimamo wake huu.
 
Back
Top Bottom