JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Nadhani hii kitu itanifanya nichaguliwe JF babu ofu ze yia.

Gudimong zenu this aftanuun
Karibuni Taska malti baridi....
Nimelikumbuka sana somo la Sayansi Kimu.
Wewe ni Babu of all times.
Afu tusome sayansi kimu ya mwili, itafaa sana

Mate, hebu niambie kama hiyo ni simu ya Kongosho nikajitie kitanzi.
***** wallah!
Siwezi fanya chochote cha kukudhuru babu
Wewe tena!!

Mambo hayaendi bila rushwa. Think! bht think!
Akamwulize Sara kiikya, hana hamu
 
Inaonekana huu msredi haujaupitia wote, hebu angalia nilivokulembea maujiko (ushahidi post no 262). Sasa hapo dili inabidi ukipata hako ka hela tunaanzisha mradi wa kupeleka dagaa botswana.
heheeh halaf huo utabiri umetulia kweli aisee.
Kudagadeki.... ngoja niifuate nikaigongee like.

Si unajua LIKE yangu ina kismati? Waweza kufanyiwa promosheni badala ya kuuza dawa famasi unaenda kugea wagonjwa kwenye ambulance.... Dagaa botswana wanaliwa eh?
 
hv gee mbona huwa huagi bwana? miss yu very much
bee wako yupo maana nyie huu msiredi mtaujazia seva wallah page 10000

Smile mrembo jamani mbona dongo tena la kujaza seva...:lol:
mie nimekuja kuchukua nafasi ya Superman
 
Naomba niwe mbea,hivi seriously mnafahamiana?


Mkuu, NN ananifahamu sana. Na hata alipofika majuu, ni mimi nilmwomba Michael Jackson (Alikuwa hajafariki) kuwa amasaidie kulipia chumba. Ni ni mimi pia niliemkutanisha na rafiki yangu Mwanakijiji. lakini najua akija hapa takana yote kwa kuwa amedhamiria kunichafua.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Thinking,we think differently and that's because we perceive the world differently.Kubali tu mpenzi wangu Gaijin mwanamke NA mwanaume ni viumbe wawili tofauti kabisa and yet utu wetu unatukutanisha.Who is superior/inferior that is a different question all together.Hat a trend ya posts jf iko clear NA ndo man a mwanaume akiibuka na ID/avatar ya kike watu huwa wanamuumbua and vice versa

First, I was asking about roles, and your post failed to show the different roles assigned to the two genders. Since there are no different roles, the thought of separating the contributions made by different genders is absurd because its stereotyping that's why you never see that in any higher learning institution.

btw: I don't like it when a random guy calls me mpenzi wangu. Let's avoid it next time
 
  • Thanks
Reactions: bht
Smile mrembo jamani mbona dongo tena la kujaza seva...:lol:
mie nimekuja kuchukua nafasi ya Superman
kumbe upo ndugu yangu by the way muwe mnaaga bwana mi nikadhani bodaboda ishakupeleka ahera bwana.mi nakonda kwa kukuombolezea kumbe upo tu town hapa unakula bata sio fair ndugu yangu
 
  • Thanks
Reactions: bht
Hehehehe.... kuna hatari ya kuishia Mamsera.....

Lakini si zinatosha kumnunulia Naki japo soda mbili na chipsi mayai pale kwa Nata (RIP)

Mkuu inabidi mimi niitishe mafaili na kura za 2010 ili watu wazihakiki. Nani alishinda hasa. Halafu wewe ulishinda kihalali kabisa.
 
Kudagadeki.... ngoja niifuate nikaigongee like.

Si unajua LIKE yangu ina kismati? Waweza kufanyiwa promosheni badala ya kuuza dawa famasi unaenda kugea wagonjwa kwenye ambulance.... Dagaa botswana wanaliwa eh?

Dagaa botswana wanalifanyia ushirikina. kule watu hawatongozi, wanapeleka dagaa kwa mganga tu unaona wadada wa JF wote hafla wamekuPM
 
Hakika huu ni msimamo wa Gaijin toka 2010 na tunaomfahamu hatushangai.

Hata alipopigiwa kula 2010 na kuchaguliwa huku akiwa amefungana na Regia aliamua kujitoa na JEC ikampa ushindi Regia.

Unaweza ukareview sababu hizi hizi alizozitoa 2010 lakini tume ikatupilia mbali maoni yake kwa kuwa JF si taasisi ya kisongombingo. Watu wanafurahi hapa na kuishi kama ndugu. Afterall ahtujui who is She an who is he. Yote haya ni ya kinadharia.

Kama haya yangetokea in reality anayosema yanasimama. I bet Regia alikuwa ni Mwanaharakati halisi wa Jinsia Ndani na Nje ya JF lakini bado alishiriki shindano kwa moyo Mkunjufu.

All in all Gaijin ni moja kati ya Jina kubwa sana hapa JF na wote tunapaswa kuheshimu maoni yake huru.

Gaijin kakupa za uso kwa vile huna basis ya mpambanao ila hujaelewa.
 
Mkuu, NN ananifahamu sana. Na hata alipofika majuu, ni mimi nilmwomba Michael Jackson (Alikuwa hajafariki) kuwa amasaidie kulipia chumba. Ni ni mimi pia niliemkutanisha na rafiki yangu Mwanakijiji. lakini najua akija hapa takana yote kwa kuwa amedhamiria kunichafua.
kitendo cha kumpeleka mamtoni na wewe kurudi ukatembea na housegirl wake nadhani kilimuudhi sana si unajua na yeye alikuwa anajisevia hapo? mademu woote wa kizungu walikushinda hadi kuja kumendea kiburudisho cha nn bwana.hata mimi nisingekusamehe.nalog off
 
Nyie wote hapo chini, naombeni kura zenu. Nikishinda nawaahidi kuwapa lifti kwenye bajaji yangu ya urithi yenye matairi ya trekta.

Fellow tablet klorokwini nihesabie hizi kura zangu. Mpango wa Botswana uko palepale.

There are currently 31 users browsing this thread. (23 members and 8 guests)

 
Maadili yangu ni kwa mujibu wa Wana JF na wana jamii. Mfano ninao rafiki zangu wa karibu ambao kupitia wao unaweza kufahami mimi ni mtu wa nani, list yao ni kubwa, lakini marafiki zangu wa karibu na wachache ni kama:

1. Kofi Anani
2. Bill Gates wa USA
3. Invisible wa JF
4. Mandela Madiba wa SA
5. Dr. Slaa wa Chadema
6. Jussa wa CUF
7. Mama Salma Kikwete
8. Queen Elizabeth wa England
9. Mustafa Sabodo wa Tanzania
10. Mwanakijiji wa JF

Na wengine wengi.

Si hivyo tu ni jana nilikuwa na rafiki yangu Shiekh Mkuu Simba na Muhadhama Pengo baada ya kikao changu na Mengi wa IPP.

Pili nilamua kujiuzulu Mwaka jana, lakini niliona team ya JF ikiongozwa na wakongwe kama JP, Malaria Sugu; AshaDii, FL1, AD, Bishanga; The Finest; Maxence na wengine wengi walinifuata na kunuiomba kwa unyenyekevu ikabidi nikubali. Sina haja ya kuchakachua kwa kuwa mimi ni Mwana Demokrasia wa kweli.

Kuhusu NN: Macelebrity wote wa Nyuma kama NN, WoS hawashiriki kisheria na kiutamaduni.

kumbe mnapeana mapande tu kwa kujuana na 'urafiki'? I knew it

halafu kuhusu 'kuukomesha' uselebriti wa NN na WoS sio haki, huo unakoma wenyewe tu si kwa wewe kuamua...acha hizo
kwani urais wa Jamuhuri huu
 
Mkuu inabidi mimi niitishe mafaili na kura za 2010 ili watu wazihakiki. Nani alishinda hasa. Halafu wewe ulishinda kihalali kabisa.
Mkuu nashukuru sana. Na safari hii nakuletea AK 47 ulipue wezi wa kura. Yaani watu wanaiba mpaka kura za JF khaa!
 
Nyie wote hapo chini, naombeni kura zenu. Nikishinda nawaahidi kuwapa lifti kwenye bajaji yangu ya urithi yenye matairi ya trekta.

Fellow tablet klorokwini nihesabie hizi kura zangu. Mpango wa Botswana uko palepale.

There are currently 31 users browsing this thread. (23 members and 8 guests)


Hapo tuna kura kama 20, nimehesabu bila kalkuleta. Kuna kila dalili ya ushindi, acha niweke booking ubalozi wa botswana kwa intavyu ya viza
 
Back
Top Bottom