Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
BWANA YESU ASIFIWE WATU WA MUNGU..... 🙏KUAMSHWA SAA 9 USIKU KUOMBA🙏
Kwa wanaohitaji kuamshwa kuomba 🧡
Kwa wenye Udhuru (hutopigiwa simu kabisa)🤎
Kwa watakaopata neema ya kuamka mwenyewe kuomba💜
Mpendwa wangu utasema wewe upo kundi lipi? nimefanya hivi ili kuokoa muda kwenye upigaji simu naweza kumwacha mwenye uhitaji ok Google sana wa kuamshwa kuomba nikampigia asiye na uhitaji kwa siku husika.
HAKIKISHA NAMBA UNAYOWEKA HAPA INAPATIKANA HEWANI✅
KUTOKANA NA WATU KUWA WENGI BASI ATAKAYE SEMA AAMSHWE NDIYE ATAKAYEPIGIWA SIMU, KWA WALIOKAA KIMYA TUOMBE NEEMA YA MUNGU IPITE KWAKO ✅
HAKIKISHA UKIAMSHWA UNAAMKA KUOMBA, ONYESHA UTII NA UAMINIFU MBELE ZA MUNGU✅
All