JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

Haijafunguliwa, nadhani wamejisahau tu. Baada ya muda mfupi lazima utumie VPN tena kuingia. Matusi humu ni machache, kisichotakiwa na serekali ni ukweli. Jukwaa hili halikufingwa kwa sababu ya matusi, bali ni kwa kuongea ukweli usioipendeza serekali.
Kabisaa 📍📍🔨
 
Anayezushiwa aende mahakamani. Check na Mafwele mwambie mahakama iko wazi siku za kazi, akafile tatizo lake huko.

Hahaha! Sasa mafwele ameingiaje tena🤓🤓

Kumzushia MTU Jambo hata bila kwenda mahakamani sio Jambo la kiungwana.
Najua unajua ila unataka kuleta ukorofi
 
Walijua tutawasujudia?
Waifunge bhana weeeh..!!
Kazi kutisha na kuteka watu, yakiambiwa ukweli yanakimbilia kufungia platform za wananchi wanaowakosoa..!!

Inaumiza Sana. Kuna wakati wakina kiranga unaweza kuona wapo sahihi
 
Matangazo bora kuliko uhai wao?
Si walimtisha Melo kumuua hao?!
Matangazo si ndio yanalipia gharama za uendeshaji wa jukwaa na kulipa mishahara ya wafanyakazi boss?
 
Unamaana gani?
Mimi nimekutajia njia ninayoutumia kuingia humu ndio nikataja hizo web browser mbili.
Opera ina buit in Vpn
Unamaana gani?
Mimi nimekutajia njia ninayoutumia kuingia humu ndio nikataja hizo web browser mbili.
Chrome na Opera zina built in Vpn ndiyo maana unaingia bila 'hodi'.

Mtu yeyote hahitaji Vpn kuingia chrome ama Opera.

Ndiyo maana tunakueleza kuwa Jf bado haijafunguliwa.

Ikifunguliwa, app utaingia bila Vpn.
 
Back
Top Bottom