JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

Matangazo si ndio yanalipia gharama za uendeshaji wa jukwaa na kulipa mishahara ya wafanyakazi boss?
Basi wakubali kutii maagizo watakayopewa.
Wasifikiri wamefunguliwa kwamba wanapendwa..!!

Kuna kitu wanakitaka, wajiandae kuvamiwa tena na kuombwa Ids za member..
 
Hatari Sana.🤭
Sasa fikiria sasa wewe ndio umezushiwa hivyo. Au kwa vile sio maarufu huoni impact yake?
Huyo ameshafanya mengi ni lazima alipwe kwa ukatili alioufanya hadi sasa. Yaani hakupaswa kuzushiwa, bali inatakiwa iwe kweli na picha zake zisimbazwe nchi nzima.
 
Opera ina buit in Vpn

Chrome na Opera zina built in Vpn ndiyo maana unaingia bila 'hodi'.

Mtu yeyote hahitaji Vpn kuingia chrome ama Opera.

Ndiyo maana tunakueleza kuwa Jf bado haijafunguliwa.

Ikifunguliwa, app utaingia bila Vpn.
Anakataza watu wasiseme uongo ikiwa yeye thread yake ni uongo tupu. Jf haijafunguliwa

Siku ikifunguliwa wala sio yeye atakuja kutueleza Bali wenye jf wenyewe watatueleza kama walivyotueleza kipindi inafungiwa
 
Basi wakubali kutii maagizo watakayopewa.
Wasifikiri wamefunguliwa kwamba wanapendwa..!!

Kuna kitu wanakitaka, wajiandae kuvamiwa tena na kuombwa Ids za member..
Sina hakika kama wamefunguliwa, ila hilo la id's kutakiwa sio jambo la leo tu, ni la muda mrefu. Siku za nyuma kulikuwa na mods walikuqa wanavujisha id za watu, lakini jf wakaongeza security, hata wao hawajui id ni ya nani kwa sasa. Sana sana ukiweka maudhui yasiyopendwa na serekali wanayafuta.
 
Sina hakika kama wamefunguliwa, ila hilo la id's kutakiwa sio jambo la leo tu, ni la muda mrefu. Siku za nyuma kulikuwa na mods walikuqa wanavujisha id za watu, lakini jf wakaongeza security, hata wao hawajui id ni ya nani kwa sasa. Sana sana ukiweka maudhui yasiyopendwa na serekali wanayafuta.
Tena mods kama una bifu naye na kaacha kazi anakuchoma chap 😹😹😹
Ila hao mods nao vibuyu kweli aloo.

Bora walivyoongeza security aisee..!!
 
Kama ni hvyo Sawa.
Uzushi nao ni mwingi pia.
Wewe Mswahili matusi na uzushi yangekuwa ni tatizo kubwa hivyo kusingekuwa na mitandao yoyote ya kijamii duniani.

Kwanza JF hakuna matusi, ni lugha ya ukali tu ambayo MaCCM na machawa wake hawapendi ndio huwa wanasema matusi.

Hapa JF angalau wanafuata lugha zisizopendwa na watawala, huko X, Facebook, Instagram wala hawangaiki na chochote utakochomsema Trump, labda useme unaenda kuua mtu.
 
Wewe Mswahili matusi na uzushi yangekuwa ni tatizo kubwa hivyo kusingekuwa na mitandao ya kijamii duniani. Kwanza JF hakuna matusi, ni lugha ya ukali tu ambayo MaCCM na machawa wake hawapendi ndio huwa wanaosema matusi.
Kuna mtu aliuliza matusi yanauma kuliko risasi?
Wanaumia na matusi kuliko risasi wanazotumia kuua watu
 
Haijafunguliwa, nadhani wamejisahau tu. Baada ya muda mfupi lazima utumie VPN tena kuingia. Matusi humu ni machache, kisichotakiwa na serekali ni ukweli. Jukwaa hili halikufingwa kwa sababu ya matusi, bali ni kwa kuongea ukweli usioipendeza serekali.
Ukweli au uzushi?..kuna nyuzi ngapi za uzushi kuelekea uchaguzi toka kwa yule jamaa muongo muongo na manabii fake?..kwamba hagombei,mwezi wa Saba Saba hapo ataliwa kichwa,wa tisa ataliwa kichwa
 
Back
Top Bottom