JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

Preta ule ukumbi kwa mujibu wa data nilizozipata siyo mzuri sana siyo kwa sababu ya madhari bali huduma na kiitifaki. Kwa details zaidi wasiliana na Blaki Womani
 
Last edited by a moderator:
Cha ''lllllllllllllll arusha jeeeee!
 
Cha ''lllllllllllllll arusha jeeeee?
 
halafu Pukudu....si upo Chugga wewe.....vipi bana......?

Kwa Sasa niko shy town kikazi hadi dec ila nkiwa huko ntawatafta wana chuga tuget together ila najua tukikutana lazima baadhi yetu tutakuwa tunafahamiana coz arachuga mi ni legendary hahaaaaa nna Hamu sana ya kumfahamu PakaJimmy, wewe na mr Rocky
 
pamoko mkuu..........hilo linawezekana kabisa.......
hii ishu inaenda kuandaliwa kwa ajili ya Dec....so unaweza kuwahi.......
 
pamoko mkuu..........hilo linawezekana kabisa.......
hii ishu inaenda kuandaliwa kwa ajili ya Dec....so unaweza kuwahi.......

Basi ka ni December count me in ntamshawish my young sister najua ni active member wa JF ila Sijui anajiitaje na hataki nijue anaitwaje though nahisi yeye anajua naitwaje ntafurahi nikijua ID yake
 
Natamani kuota mbawa kuhudhuria! Ila siku ya siku nitakuwepo kwa mapana na marefu, chezeiya bata weye??? Mkiafiki contributions let us knw!

hunishindi mimi ngoja nicheki maratiba yatakavyokuwa..... hata sisi wa dar kama tutashindwa siyo mbaya tukipanga ya kwetu hapa hapa tukonga moja mbili na kubadilishana mawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom