Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
basi kama ni hivyo....tunaweza badilisha.......any suggestion.......????
Nadhani tutapeana updates kwa PM ukumbi ambao tutakaouchagua. No any further suggestion.
basi kama ni hivyo....tunaweza badilisha.......any suggestion.......????
poa sana.......lakini ningependa kujua watakaohudhuria ili tuweze kuwaPM venue.......
Naona wiiiiiiiivuuuuuu natamani nirudi zangu Jijini ARUUUUUSHA
Pamoja sana mpendwa!nimekuweka kwenye list mama.......pale juu kwenye thread mlioconfirm nimewaandika kwa red.....karibu sana......
lakini mnaweza kuja......ni mpango wa mambo ya Dec.......karibuni....
Embu edit hapo kwenye jina langu usije kunivunjia ndoa yangu! Khaah!