Preta,
Lete maendeleo ya hii maneno!...tunataka ratiba full ya siku ya kikao...!
Ila venue tuletewe chumbani aka PM maana kuna watu wawili ambao tumepata taarifa za intelijensia kuwa wamechukia kwasababu hawajaalikwa, na hivyo wanaplani kutu-Romney wote!...Mimi nitawataja ili na nyie muwatathmini, na iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya!
Ni
Remmy na
Paw!...lol!
Nashangaa
Blaki Womani yuko kimya hadi saa hizi wakati anatakiwa ku'propose direksio ya lokesio ili watu wajikondisio na wafanye preparasio ya vacasio wakiwa bie.