JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

utahitaji kiasi gani.......
Kama ile ulonitumia term ya kwanza ila ongeza kama elfu 20 nasikia mafuta hakuna na wamepandisha bei ya nauli na pia mvua zimenyesha sana lile daraja sasa hivi tunavushwa kwa elfu mbili kwa kila kichwa....
Asante..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom