Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Ok km ni hivo,Shem mi nakuombea heri tu.....haya ya magamba ni kawaida na yataisha muda si mrefu
Nidai bazoka shem wangu wa ukweli!!!
Ok km ni hivo,Shem mi nakuombea heri tu.....haya ya magamba ni kawaida na yataisha muda si mrefu
Ndio natoka kumpa cha mchana now!Hivi leo humpi cha mchana?
Khaaaaaaaaaaa,Hahaaaa ngoja nimwombe Canta atusaidie kukuangalia km una kiwango
Nafurahi kukuona swaiba,tangu pasaka sijakuona atiii,nipo swahiba.
Mishemise tu mjini hapa, huyo mke wa kuleta kesi ametoka wapi tena? Wifi yenu G. Mpolee tangu atokomee mazima ndo sijapata mbadala wake tena...
Hahaaaa ngoja nimwombe Canta atusaidie kukuangalia km una kiwango
Chezeiya Canta!!!hahahahahaha..bedball..hiyo kali......canta
Kumbe!!Hahahahahaaaa ndo zawadi yangu eeeeh
Pole sana,Mi cha mchana huwa kinanichosha sana so huwa nakitop up kwa vya usiku
Smiling Saint alijiteua kuwa mtunza hazina ya timu ingawa hatuiamini sana taaluma yake kwa kuwa ni wa kuleeee Old Moshi so waweza check nae mjue mtafanyaje maana sisi twahitaji maji na juice pia na GlucoseNaombeni waandaaji wa mechi mnipe dili la kuuza maji ya kunywa kwa mashabiki,wachezaji watakunywa bure.Pia nitauza mavuvuzela na vibendera vya timu zote mbili vitapatikana.
Ntapiga 7 ila ntaanzia bench mkuu!Jamani naandaa timu ya JF ila sijajua ni akina nani watacheza namba ngapi....
Ila najua ladies wote watakuwa jukwaani kuhakikisha wanasema "Usiniumizieeeeeeeeee"
Mi ntakuwa nakanyaga namba 9 kuhakikisha ushindi...
Match ya mazoezi Chit-Chat itacheza na jukwaa la Siasa...hebu tusaidiane kupanga kikosi...
View attachment 51807View attachment 51808View attachment 51809
Hapo ni vijana wa Chit-Chat wakijiandaa na katikati uwanja utakaochezea na Kulia ni Wanachit-Chat wakiwa na Vuvuzela..sijui ni nani ila nahisi ni naniii
Kuhusu hilo tafuta kuna mahali nimekujibu,Hakujui eeeeeh
Mwambie hapo hapakammatiki..
Nimekupa kazi ya kukagua kiwango cha mwanasoka mmoja...naomba uhakikishe unamkagua vema ili kama hana kiwango tumteme kwenye match