JF Football team

JF Football team

Nimejaribu tu mkuu.Anza kupasha misuli ili tukianza mazoezi rasmi unakuwa uko fit zaidi mkuu.
Wacha inategemea na mwenendo wake wa kinidhamu bado ana nafasi kwenye kikosi cha kwanza.
Atakaa bench hadi achoke
 
Mnafiki mkubwa wewe....
Wakati hayupo umenipondaaaaa sasa unajidai eti umemmiss hujui yeye ni mimi na mimi ni yeye so ulikokuwa unaniponda mimi ni kama ulikuwa unamonda yeye...
Hadanganyiki

Hebu achana na mambo ya kusutana, mke mkeo tu, mtayamaliza mkishashusha net.
Wewe ndiyo mratibu wa timu shughulikia mambo ya timu, huku kuna taarifa wachezaji wawili wa Chitchat kutokana na maumbile yao (waliathiriwa na maji ya madafu)
hawatoweza kuvaa bukta due bushas!
Sasa inabidi mpango wa haraka washonewe sketi, itabidi wacheze na sketi kwakua ni wakutegemewa.
 
Hahahahaaa ni akina nani hao?
Wataje tuwasaidie
 
Hahahahaaa ni akina nani hao?
Wataje tuwasaidie

Kimaadili hatutawatendea haki kuwaanika hapa, hao majina yao nitakuletea kwa Pm,
ili itakapotolewa oda ya jezi basi paodeshwe na sketi mbili.
 
Ok,cha kufanya chukua no ya cm ya Amy mtumie mtei one kwa msg hope akiipata with in 5mints utakacrika!
Hahahahahaaaa kuna vitu vya kujaribu lol
Hilo sijaribu hata kidogo ingawa najua Amy hawezi Cheat!
Ngoja nijiendee jukwaa la Siasa
 
Nauza timu Nauza timu, 550 sh pungufu unaongea.

Nina wachezaji wa mafungu wakianziwa na Erick, hawa ni nyongeza.
 
Hahahahahaaaa kuna vitu vya kujaribu lol
Hilo sijaribu hata kidogo ingawa najua Amy hawezi Cheat!
Ngoja nijiendee jukwaa la Siasa

Sio kwamba atachit,yan zile mbwembwe tu za mtei na mistari yake kwenye cm mwenyewe utakacrika!
 
Nauza timu Nauza timu, 550 sh pungufu unaongea.

Nina wachezaji wa mafungu wakianziwa na Erick, hawa ni nyongeza.

Hahaha!x-mke mwenza bora uiuze maana wana mpango wa kumnyima mme wangu namba lol!
 
I hope nafas yangu ya muweka hazina bdo ipo wazi.
Mi pia ni mchezaji
 
Back
Top Bottom